Shamba linauzwa bupu kibudi wilaya ya mkulanga

mwanaidi mgaza

Senior Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
154
Reaction score
72
Shamba linauzwa mkoa wa pwani wilaya ya mkulanga kijiji kinaitwa pubu kibudi. Eneo ni hekari 3 ni eneo la tambalare kabisa.kila hekari ni millioni moja( 1 million). Hakuna dalali mi mwenyewe ndio mmiliki
Kwa mawasiliano 0693098144
Karibuni viongozi
 
Ni umbar gani kutoka barabara kuu.
 
Njoo na taarifa sahihi
Alafu urudi ujazie nyama tangazo lako

Ova
 
Shamba linauzwa mkoa wa pwani wilaya ya mkulanga kijiji kinaitwa pubu kibudi. Eneo ni hekari 3 ni eneo la tambalare kabisa.kila hekari ni millioni moja( 1 million). Hakuna dalali mi mwenyewe ndio mmiliki
Kwa mawasiliano 0693098144
Karibuni viongozi
Umbali kutoka barabara kuu ya dar mtwara hadi bupu kibudi ni kilomita 25 na kutoka kituo unachoshuka kuingia shambani ni mwwndo wa dakika kumi kwa miguu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom