mwanaidi mgaza
Senior Member
- Dec 10, 2012
- 154
- 72
Shamba linauzwa mkoa wa pwani wilaya ya mkulanga kijiji kinaitwa pubu kibudi. Eneo ni hekari 3 ni eneo la tambalare kabisa.kila hekari ni millioni moja( 1 million). Hakuna dalali mi mwenyewe ndio mmiliki
Kwa mawasiliano 0693098144
Karibuni viongozi
Sijui kwa umbali ila nachojua ni lisaa limoja na nusu kutoka mbagala kufika bupuNi umbar gani kutoka barabara kuu.
Kwenye avatar ni wewe?
Namaanisha kutoka shamba lilipo mpaka ilipo barabara kuu ya dar mtwaraSijui kwa umbali ila nachojua ni lisaa limoja na nusu kutoka mbagala kufika bupu
Sijui mpendwa wangu. Sijawahi kuuliza iloNamaanisha kutoka shamba lilipo mpaka ilipo barabara kuu ya dar mtwara
Ngoja niulize kwa mtu then i will let u knowNamaanisha kutoka shamba lilipo mpaka ilipo barabara kuu ya dar mtwara
Umbali kutoka barabara kuu ya dar mtwara hadi bupu kibudi ni kilomita 25 na kutoka kituo unachoshuka kuingia shambani ni mwwndo wa dakika kumi kwa miguuShamba linauzwa mkoa wa pwani wilaya ya mkulanga kijiji kinaitwa pubu kibudi. Eneo ni hekari 3 ni eneo la tambalare kabisa.kila hekari ni millioni moja( 1 million). Hakuna dalali mi mwenyewe ndio mmiliki
Kwa mawasiliano 0693098144
Karibuni viongozi