Plot4Sale Shamba linauzwa Chalinze

Plot4Sale Shamba linauzwa Chalinze

uberimae fidei

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
2,679
Reaction score
4,283
Shamba lipo Chalinze Pingo,usawa wa kiwanda cha tiles.
Km 4 kutoka Morogoro road.
Katika shamba kuna kijumba cha vyumba viwili choo na bafu
Ukubwa eka 8
Pote milioni 12
Panafaa kwa kilimo na ufugaji
 

Attachments

  • IMG_20231024_130540_798.jpg
    IMG_20231024_130540_798.jpg
    799.8 KB · Views: 21
  • IMG_20231024_132507_016.jpg
    IMG_20231024_132507_016.jpg
    1.2 MB · Views: 18
  • IMG_20231024_130557_112.jpg
    IMG_20231024_130557_112.jpg
    997.6 KB · Views: 19
Shamba lipo chalinze pingo,usawa wa kiwanda cha tiles
Km 4 kutoka morogoro road.
Katika shamba kuna kijumba cha vyumba viwili choo na bafu
Ukubwa eka 8
Pote milioni 12
Panafaa kwa kilimo na ufugaji
Pesa tu changamoto.

Hapa unaanzisha ufugaji samaki, unatafuta wafadhili within 2 years tunaongea mengine😍😍

Sehemu nzuri sana.
 
Back
Top Bottom