uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Palisafishwa kwa ajili ya ujenzi,hiyo picha sio ya leo, mazao mengi tu yanakubali.Hapo panafaa kilimo gani mkuu mbona pamepauka sana?
Pesa tu changamoto.Shamba lipo chalinze pingo,usawa wa kiwanda cha tiles
Km 4 kutoka morogoro road.
Katika shamba kuna kijumba cha vyumba viwili choo na bafu
Ukubwa eka 8
Pote milioni 12
Panafaa kwa kilimo na ufugaji
Kabisa mkuuPesa tu changamoto.
Hapa unaanzisha ufugaji samaki, unatafuta wafadhili within 2 years tunaongea mengine[emoji7][emoji7]
Sehemu nzuri sana.
Karibu sana mkuuPako poa sana
Palisafishwa kwa ajili ya ujenzi,hiyo picha sio ya leo,mazao mengi tu yanakubali
Mahindi,mihogo,nanasi,alizeti,koroshoMazao mengi tu ndio kusema nini? Taja aina ya mazao yanayo kubali ukanda huo.