Plot4Sale Shamba linauzwa Dodoma

Plot4Sale Shamba linauzwa Dodoma

Joined
Mar 31, 2017
Posts
19
Reaction score
8
Shamba linauzwa hakuna udalali lipo DODOMA kata ya chihanga Lina ukubwa wa heka 4 linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugaji. Wasiliana nami 0658090695 bei kwa kila heka ni million 3
 
Dodoma
Umwagiliaji
Shamba
Milioni 3/ekari.

Labda kwa sababu Dodoma nimeondoka muda mrefu
Yes yapo yanauzwa zaidi ya hiyo bei mkuu. Umwagiliaji sijui wewe uweka taswira gani hapo kwani watu wanachimba visima na kumwagilia mashamba pia ufugaji wa kisasa wa kuku, ng'ombe mbuzi na wanyama wengine wafugwao mkuu karibu kama wahitaji
 
Back
Top Bottom