Plot4Sale Shamba linauzwa Kibaha Pwani

Duu mkuu. Aisee. Ni vile sina cash tu hapa. Kutoka mlandizi kuna barabara nzuri? Naweza kukupa mteja
Ndio Mkuu,kutoka mlandizi barabara nzuri,maana ndo inayokwenda bagamoyo,Nile Mteja tuyajenge mkuu
 
Ndio Mkuu,kutoka mlandizi barabara nzuri,maana ndo inayokwenda bagamoyo,Nile Mteja tuyajenge mkuu
Niliongea nae alishapata mashamba moro huko. Sema alitafuta hata ekari 40 mitaa ya hadi chalinzi alikosa. Akaamua kuzama Moro
 
hebu nitumie picha za hii shamba kwa my pm, na mengi tutaongea huko, lakini shamba iko na ready TITLE DEED?? hati miliki
 
Niliongea nae alishapata mashamba moro huko. Sema alitafuta hata ekari 40 mitaa ya hadi chalinzi alikosa. Akaamua kuzama Moro
Poa poa mkuu,hizo 40 mbona zipo sehemu nyingi tu,au alikua anaangalia na bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…