INAUZWA Shamba linauzwa kigambon

INAUZWA Shamba linauzwa kigambon

dotdot

Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
75
Reaction score
19
Habar wana JF,ninauza eneo la ukubwa wa ekari moja na nusu maeneo mwasonga-kigamboni. Kuna nyumba ndogo imejengwa ya chumba na sebule ambayo bado haijakamilika.bei ni maelewano.nichek pm
 
Habar wana JF,ninauza eneo la ukubwa wa ekari moja na nusu maeneo mwasonga-kigamboni. Kuna nyumba ndogo imejengwa ya chumba na sebule ambayo bado haijakamilika.bei ni maelewano.nichek pm
Lina hati miliki au laah? lipo umbali gani kutoka Kigamboni kivukoni?
 
Ni pale pale mwasonga mjn,unaelekea kule mkamba a
 
Back
Top Bottom