Plot4Sale Shamba linauzwa Kisarawe

Plot4Sale Shamba linauzwa Kisarawe

MANAKE MKARI

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
299
Reaction score
240
Mahali: Kisarawe Kijiji cha Gwata (Appr. 60 km toka Mlandizi)
Ukubwa: Ekari 47
Hali ya shamba: Limepimwa na lina hati ya kimila ya halmashauri. Shamba ni pori.
Bei : milioni 7 (saba) tu kwa shamba lote. Bei imepungua na pia mazungumzo yapo.
Mawasiliano kwa maelezo zaidi: 0716 098 681 . Hii ni namba ya mwenye mali na hakuna udalali. Mimi nimemsaidia tu kuweka taarifa hapa.
N:B: Gharama za kubadilisha umiliki ikiwa ni pamoja na asilimilia 10 itabebwa na mnunuzi
 
Hv kuna tofauti kati ya Hati ya kimila na Hati ya serikali ya Mtaa?
Vp kisheria hizi Hati zina mashiko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahali: Kisarawe Kijiji cha Gwata (Appr. 60 km toka Mlandizi)
Ukubwa: Ekari 47
Hali ya shamba: Limepimwa na lina hati ya kimila ya halmashauri. Shamba ni pori.
Bei : milioni 7 (saba) tu kwa shamba lote. Bei imepungua na pia mazungumzo yapo.
Mawasiliano kwa maelezo zaidi: 0716 098 681 . Hii ni namba ya mwenye mali na hakuna udalali. Mimi nimemsaidia tu kuweka taarifa hapa.
N:B: Gharama za kubadilisha umiliki ikiwa ni pamoja na asilimilia 10 itabebwa na mnunuzi
Hivi gwata na mzenga kuna umbali gani, ukitokea pale shuleni baada ya reli?.
 
Sawa mkuu,umasikini huu tunashindwa kuwekeza maeneo kama hayo bei sio kubwa sana ukilinganisha na ukubwa wa eneo na hiyo kwa miaka 10 ijayo itakuwa kama umeokota tuu.

Na ni mashamba yaliyopimwa yenye mawe kabisa.Na unaweza kuzungumza ukiwa na hela mfuko wa shati
 
Sawa mkuu,umasikini huu tunashindwa kuwekeza maeneo kama hayo bei sio kubwa sana ukilinganisha na ukubwa wa eneo na hiyo kwa miaka 10 ijayo itakuwa kama umeokota tuu.
Bei ndogo sana hiyo kwa hekari 47 ukiwa serious na ufugaji na kilimo unatoboa,kutoka hapo gwata mpaka pugu ni takribani km 65 tu unaenda na kurudi.
 
Mahali: Kisarawe Kijiji cha Gwata (Appr. 60 km toka Mlandizi)
Ukubwa: Ekari 47
Hali ya shamba: Limepimwa na lina hati ya kimila ya halmashauri. Shamba ni pori.
Bei : milioni 7 (saba) tu kwa shamba lote. Bei imepungua na pia mazungumzo yapo.
Mawasiliano kwa maelezo zaidi: 0716 098 681 . Hii ni namba ya mwenye mali na hakuna udalali. Mimi nimemsaidia tu kuweka taarifa hapa.
N:B: Gharama za kubadilisha umiliki ikiwa ni pamoja na asilimilia 10 itabebwa na mnunuzi
Ni yale ya kina Toshi au?
 
Back
Top Bottom