MANAKE MKARI
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 299
- 240
Kusema ukweli picha siwezi kuzipata maana mwenye mali hana simu ya kuweza kupiga picha... tupia picha za kutosha.
Ni shamba pori. Halijawahi limwa (pamoja na ya jirani)Lina mazao yoyote ama msitu tu?
Hv kuna tofauti kati ya Hati ya kimila na Hati ya serikali ya Mtaa?Mahali: Kisarawe Kijiji cha Gwata (Appr. 60 km toka Mlandizi)
Ukubwa: Ekari 47
Hali ya shamba: Limepimwa na lina hati ya kimila ya halmashauri. Shamba ni pori.
Bei : milioni 7 (saba) tu kwa shamba lote. Bei imepungua na pia mazungumzo yapo.
Mawasiliano kwa maelezo zaidi: 0716 098 681 . Hii ni namba ya mwenye mali na hakuna udalali. Mimi nimemsaidia tu kuweka taarifa hapa.
N:B: Gharama za kubadilisha umiliki ikiwa ni pamoja na asilimilia 10 itabebwa na mnunuzi
Hivi gwata na mzenga kuna umbali gani, ukitokea pale shuleni baada ya reli?.Mahali: Kisarawe Kijiji cha Gwata (Appr. 60 km toka Mlandizi)
Ukubwa: Ekari 47
Hali ya shamba: Limepimwa na lina hati ya kimila ya halmashauri. Shamba ni pori.
Bei : milioni 7 (saba) tu kwa shamba lote. Bei imepungua na pia mazungumzo yapo.
Mawasiliano kwa maelezo zaidi: 0716 098 681 . Hii ni namba ya mwenye mali na hakuna udalali. Mimi nimemsaidia tu kuweka taarifa hapa.
N:B: Gharama za kubadilisha umiliki ikiwa ni pamoja na asilimilia 10 itabebwa na mnunuzi
Km 38Hivi gwata na mzenga kuna umbali gani, ukitokea pale shuleni baada ya reli?.
Sawa mkuu,umasikini huu tunashindwa kuwekeza maeneo kama hayo bei sio kubwa sana ukilinganisha na ukubwa wa eneo na hiyo kwa miaka 10 ijayo itakuwa kama umeokota tuu.Km 38
Sawa mkuu,umasikini huu tunashindwa kuwekeza maeneo kama hayo bei sio kubwa sana ukilinganisha na ukubwa wa eneo na hiyo kwa miaka 10 ijayo itakuwa kama umeokota tuu.
Bei ndogo sana hiyo kwa hekari 47 ukiwa serious na ufugaji na kilimo unatoboa,kutoka hapo gwata mpaka pugu ni takribani km 65 tu unaenda na kurudi.Sawa mkuu,umasikini huu tunashindwa kuwekeza maeneo kama hayo bei sio kubwa sana ukilinganisha na ukubwa wa eneo na hiyo kwa miaka 10 ijayo itakuwa kama umeokota tuu.
Ni yale ya kina Toshi au?Mahali: Kisarawe Kijiji cha Gwata (Appr. 60 km toka Mlandizi)
Ukubwa: Ekari 47
Hali ya shamba: Limepimwa na lina hati ya kimila ya halmashauri. Shamba ni pori.
Bei : milioni 7 (saba) tu kwa shamba lote. Bei imepungua na pia mazungumzo yapo.
Mawasiliano kwa maelezo zaidi: 0716 098 681 . Hii ni namba ya mwenye mali na hakuna udalali. Mimi nimemsaidia tu kuweka taarifa hapa.
N:B: Gharama za kubadilisha umiliki ikiwa ni pamoja na asilimilia 10 itabebwa na mnunuzi
Wap huko tajiriNa ni mashamba yaliyopimwa yenye mawe kabisa.Na unaweza kuzungumza ukiwa na hela mfuko wa shati
YapNi yale ya kina Toshi au?