Plot4Sale Shamba linauzwa, lipo Bagamoyo

Plot4Sale Shamba linauzwa, lipo Bagamoyo

bata mzinga

Member
Joined
Jan 11, 2016
Posts
19
Reaction score
33
Shamba linauzwa lipo Mkoa wa Pwani wilaya ya BAGAMOYO,

Shamba lipo barabara ya MLANDIZI BAGAMOYO kijiji kinaitwa Sunguvuni limepakana na ukuta wa kiwanda kipya cha HILL WATER.,shamba linafaa kwa makazi na matumizi yote ya kilimo..!

Zipo heka 5 bei yake ni MILLIONI 37 na zinauzwa zote.

N.B HAKUNA DALALI MIE NDO MMILIKI WA SHAMBA.

Kwa mawasiliano zaidi 0629717895.
 
Back
Top Bottom