Shamba linauzwa nafuuu

Shamba linauzwa nafuuu

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Wadau shamba linauzwa

wanaotaka kununua shamba hilo ni ekari 50 zote zina hati 1 lipo kigamboni sehemu inaitwa mwasonga kwa million 950 bei itapungua kwa ataehitaji

Kwa mawasiliano ni PM namba yako mi nitakupigia au tuma email: [email protected]
 
Sawa, mimi ndo nimekosea njia. WRONG TURN
 
ina maana eka moja ni millioni 19? au nimefanya vibaya hiyo hesabu....???
 
Back
Top Bottom