Shamba linauzwa nafuuu

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Wadau shamba linauzwa

wanaotaka kununua shamba hilo ni ekari 50 zote zina hati 1 lipo kigamboni sehemu inaitwa mwasonga kwa million 950 bei itapungua kwa ataehitaji

Kwa mawasiliano ni PM namba yako mi nitakupigia au tuma email: mahirtwahir@gmail.com
 
Sawa, mimi ndo nimekosea njia. WRONG TURN
 
ina maana eka moja ni millioni 19? au nimefanya vibaya hiyo hesabu....???
 
Ebanae kweli usiseme sisi masikini tusemage tu mimi masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…