Shamba linauzwa pamoja na majengo (nyumba)

Joined
Jun 22, 2022
Posts
38
Reaction score
15
Maelezo: Shamba linauzwa Liko maeneo ya Lutukila,Madaba(Km 1 kutoka barabara ya Songea -Njombe)Ukubwa wa shamba eka 100; Mazao yaliyopo,korosho eka 20,mitiki eka 5,parachichi eka 3,Kuna bonde la eka 6 la kulima mpunga,banda la nguruwe, banda la mbuzi.

Majengo: Godown kubwa(kubeba si chini ya Tani 300),nyumba ya mashine na ,nyumba ya wafanyakazi(wiring imefanywa ya umeme na application tayari). Bei ni million 120 na trekta ni milion 15 jumla ya vitu vyote vilivyopo shambani ni milion 135

Kwa mawasiliano zaidi nipigie 0711605570 au 0764426929

 
Namuona mrithi amechachamaa. Uza ndugu ukajenge heshima Dar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…