Plot4Sale Shamba linauzwa ruvu

Plot4Sale Shamba linauzwa ruvu

zwenge ndaba

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
2,037
Reaction score
3,598
Habari za jumapili wadau,Nauza Shamba lingine ,ekari moja ,Ruvu Kisabi,.liko pembeni ya mto.mazao yanayokubali,Mahindi,mpunga,tikiti maji,bamia ,n.k.pia zuri kwa ufugaji wa Samaki,hakuna haja ya kujenga bwawa
Umbali toka morogoro road km 4,ata kwa miguu toka Mlandizi unaweza kutembea tu
Bei milioni moja
Atakayechukua kwa ajili ya kufuga Samaki ,nitakupa na Vifaranga bure
Bei ni reasonable ,linauziwa shida tu,karibuni sana,atakayeweza kuzika Leo kuangalia ,nitapatikana Shamba uku uku kwa Leo mpaka jioni
 
Kuna hati?
 
Pembeni ya mto hilo eneo halipo chini ya mamlaka za serikali kweli?
 
Habari za jumapili wadau,Nauza Shamba lingine ,ekari moja ,Ruvu Kisabi,.liko pembeni ya mto.mazao yanayokubali,Mahindi,mpunga,tikiti maji,bamia ,n.k.pia zuri kwa ufugaji wa Samaki,hakuna haja ya kujenga bwawa
Umbali toka morogoro road km 4,ata kwa miguu toka Mlandizi unaweza kutembea tu
Bei milioni moja
Atakayechukua kwa ajili ya kufuga Samaki ,nitakupa na Vifaranga bure
Bei ni reasonable ,linauziwa shida tu,karibuni sana,atakayeweza kuzika Leo kuangalia ,nitapatikana Shamba uku uku kwa Leo mpaka jioni
Level imekaaje mkuu?
 
Umbali gani toka kwenye mto?
 
Umiliki wako kiserikali ukoje? Una hati ya kumiliki? Lina mipaka inayotambukika kisheria. Njoo Pm baada ya majibu ya maswali hayo..
 
Hati za umiliki za mauziano katika serikali za Mtaa mkuu
 
Back
Top Bottom