zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Habari za jumapili wadau,Nauza Shamba lingine ,ekari moja ,Ruvu Kisabi,.liko pembeni ya mto.mazao yanayokubali,Mahindi,mpunga,tikiti maji,bamia ,n.k.pia zuri kwa ufugaji wa Samaki,hakuna haja ya kujenga bwawa
Umbali toka morogoro road km 4,ata kwa miguu toka Mlandizi unaweza kutembea tu
Bei milioni moja
Atakayechukua kwa ajili ya kufuga Samaki ,nitakupa na Vifaranga bure
Bei ni reasonable ,linauziwa shida tu,karibuni sana,atakayeweza kuzika Leo kuangalia ,nitapatikana Shamba uku uku kwa Leo mpaka jioni