zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
sawa mkuuJapo picha kiongozi
Kuna hati?Habari za jumapili wadau,Nauza Shamba lingine ,ekari moja ,Ruvu Kisabi,.liko pembeni ya mto.mazao yanayokubali,Mahindi,mpunga,tikiti maji,bamia ,n.k.pia zuri kwa ufugaji wa Samaki,hakuna haja ya kujenga bwawa
Umbali toka morogoro road km 4,ata kwa miguu toka Mlandizi unaweza kutembea tu
Bei milioni moja
Atakayechukua kwa ajili ya kufuga Samaki ,nitakupa na Vifaranga bure
Bei ni reasonable ,linauziwa shida tu,karibuni sana,atakayeweza kuzika Leo kuangalia ,nitapatikana Shamba uku uku kwa Leo mpaka jioni
Level imekaaje mkuu?Habari za jumapili wadau,Nauza Shamba lingine ,ekari moja ,Ruvu Kisabi,.liko pembeni ya mto.mazao yanayokubali,Mahindi,mpunga,tikiti maji,bamia ,n.k.pia zuri kwa ufugaji wa Samaki,hakuna haja ya kujenga bwawa
Umbali toka morogoro road km 4,ata kwa miguu toka Mlandizi unaweza kutembea tu
Bei milioni moja
Atakayechukua kwa ajili ya kufuga Samaki ,nitakupa na Vifaranga bure
Bei ni reasonable ,linauziwa shida tu,karibuni sana,atakayeweza kuzika Leo kuangalia ,nitapatikana Shamba uku uku kwa Leo mpaka jioni
Umbali gani toka kwenye mto?Habari za jumapili wadau,Nauza Shamba lingine ,ekari moja ,Ruvu Kisabi,.liko pembeni ya mto.mazao yanayokubali,Mahindi,mpunga,tikiti maji,bamia ,n.k.pia zuri kwa ufugaji wa Samaki,hakuna haja ya kujenga bwawa
Umbali toka morogoro road km 4,ata kwa miguu toka Mlandizi unaweza kutembea tu
Bei milioni moja
Atakayechukua kwa ajili ya kufuga Samaki ,nitakupa na Vifaranga bure
Bei ni reasonable ,linauziwa shida tu,karibuni sana,atakayeweza kuzika Leo kuangalia ,nitapatikana Shamba uku uku kwa Leo mpaka jioni
Umiliki wako kiserikali ukoje? Una hati ya kumiliki? Lina mipaka inayotambukika kisheria. Njoo Pm baada ya majibu ya maswali hayo..Habari za jumapili wadau,Nauza Shamba lingine ,ekari moja ,Ruvu Kisabi,.liko pembeni ya mto.mazao yanayokubali,Mahindi,mpunga,tikiti maji,bamia ,n.k.pia zuri kwa ufugaji wa Samaki,hakuna haja ya kujenga bwawa
Umbali toka morogoro road km 4,ata kwa miguu toka Mlandizi unaweza kutembea tu
Bei milioni moja
Atakayechukua kwa ajili ya kufuga Samaki ,nitakupa na Vifaranga bure
Bei ni reasonable ,linauziwa shida tu,karibuni sana,atakayeweza kuzika Leo kuangalia ,nitapatikana Shamba uku uku kwa Leo mpaka jioni
Nakutumia pm mkuuWeka number zako za simu
Kisheria unaacha mita 60 mkuu,kwa hiyo mita 60 sijahesabiaPembeni ya mto hilo eneo halipo chini ya mamlaka za serikali kweli?
Ok hapo sawa mkuu.Kisheria unaacha mita 60 mkuu,kwa hiyo mita 60 sijahesabia
Linatazamana na mto mkuu ila tunaacha mita 60 za serikali kisheriaUmbali gani toka kwenye mto?
Hati ya mauziano katika ofisi za serikali ya mtaaKuna hati?
Hati za umiliki za mauziano katika serikali za Mtaa mkuuUmiliki wako kiserikali ukoje? Una hati ya kumiliki? Lina mipaka inayotambukika kisheria. Njoo Pm baada ya majibu ya maswali hayo..
Karibu mkuuOk hapo sawa mkuu.
Duhsio karibu na stiglaz goji....???
nimekutumia mkuuWeka number zako za simu