Plot4Sale Shamba linauzwa

Mardi

Member
Joined
Feb 12, 2014
Posts
81
Reaction score
42
Nauza shamba heka 1, lipo Boko Mnemela-Kibaha. Eneo lipo umbali wa 8km kutoka shirika la elimu kibaha na linafaa kwa ujenzi, ufugaji na kilimo. Halipo mbali sana na barabara inayounganisha Kibaha na Kisarawe. Mimi ndiye mmiliki. BEI SH.5,000,000/-(MILIONI TANO). Nyaraka za serikali ya kijiji zipo.
 
Mkuu weka picha ila biashara ya kuuza shamba
Huja tuambia pH ya udongo wako
Huja tuambia rutuba iliopo
Hu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…