Mardi
Member
- Feb 12, 2014
- 81
- 42
Nauza shamba heka 1, lipo Boko Mnemela-Kibaha. Eneo lipo umbali wa 8km kutoka shirika la elimu kibaha na linafaa kwa ujenzi, ufugaji na kilimo. Halipo mbali sana na barabara inayounganisha Kibaha na Kisarawe. Mimi ndiye mmiliki. BEI SH.5,000,000/-(MILIONI TANO). Nyaraka za serikali ya kijiji zipo.