TheTrf
Member
- Sep 24, 2021
- 10
- 9
Shamba la miti ya mbao Aina ya pines yenye muda wa miaka 7 na ukubwa wa ekari 200 linauzwa,bei Kwa kila ekari ni 1.8milion. Shamba lipo mpakani mwa njombe na songea,kijiji cha wino. Barabara inafika mpaka shambani(MITI TU NDO INAUZWA,UKITAKA NA ARDHI TUNAONGEA)
0673608867/0756803116
0673608867/0756803116