Shamba linauzwa

Shamba linauzwa

MANAKE MKARI

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
322
Reaction score
270
Shamba lenye ukubwa wa hekari 7 linauzwa.
Mahali lilipo: Shamba hili lipo barabara mpya ya Bagamoyo - Msata, kijiji cha Mwavi. Hiki ni kijiji kinachopakana na Kiwangwa ukitokea Bagamoyo. Shamba lipo kiasi cha 2 hadi 3 km toka barabara ya lami upande wa kushoto ukitokea Bagamoyo.
Bei: Laki saba (700,000) tu kwa heka na zinauzwa zote kwa pamoja. Hakuna dalali.
Mwasiliano: Ukitaka kuliona wasiliana na Adam (0754 774 482).
Muhimu:Zoezi la kuuziana linafanywa kwenye serikali ya kijiji na mnunuzi atatakiwa kulipa 10% ya kijiji na kupewa risiti. Hii ni muhimu sana kwa usalama wa shamba lako maana kijijini kitakulinda.
Angalizo: Utapeli umeanza kunyemelea maeneo hayo kwa sasa kwani ardhi imeanza kuwa tamu baada ya nguzo za umeme kusimikwa na mabomba ya maji kuwekwa ardhini. Ukinunua ardhi hakikisha unashirikisha serikali ya kijiji (mwenyekiti, mtendaji na mjumbe). Usikubali kuuziana kwa kumshirikisha mjumbe tu maana utalizwa.
 
Lakini 5 hapana mkuu. Hiyo ndiyo bei ya kununulia kwa wakati huo. Kwa hali ilivyo sasa ukitaka shamba kwa bei hiyo unapata lakini unaingia ndani zaidi ya km. 7. Wekeza kwenye ardhi kama hali inaruhusu!

Mkuu fanya eka laki 5

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu bei yako ya mwisho shilingi ngap?Ili tufanye biashara

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Mkuu wazo lako la kuuza zuri na bei nzuri kiasi fulani
Hembu tuambie kwanini wewe mwenyewe unaesema Tuwekeze kwenye ardhi kwa kujua ardhi ni mali halafu wewe unauza.

Hembu tupe Sababu ya wewe kuuza.

Then:-
Haya wakuu mie nataka Hekari 3,sasa atokeze mwengine.Mpaka tuzimalize.
 
Piki Piki ndio inahusika hapo nduguze JK wanaona piki piki dili kuliko ardhi
 
Ha ha ha! Nauza kwa sababu nataka niendeleze mashamba mengine mkuu.

Mkuu wazo lako la kuuza zuri na bei nzuri kiasi fulani
Hembu tuambie kwanini wewe mwenyewe unaesema Tuwekeze kwenye ardhi kwa kujua ardhi ni mali halafu wewe unauza.

Hembu tupe Sababu ya wewe kuuza.

Then:-
Haya wakuu mie nataka Hekari 3,sasa atokeze mwengine.Mpaka tuzimalize.
 
Wewe una utani mbaya sana na inaelekea unawafahamu vizuri raia wa pande hizo. Kwa kweli hii kitu ya mchina ya matairi mawili inawasumbua sana. Mimi siyo wa upande huo mkuu na nauza ili nifanye kitu kingine maeneo hayo hayo.

Piki Piki ndio inahusika hapo nduguze JK wanaona piki piki dili kuliko ardhi
 
Back
Top Bottom