Shamba lenye ukubwa wa hekari 7 linauzwa.
Mahali lilipo: Shamba hili lipo barabara mpya ya Bagamoyo - Msata, kijiji cha Mwavi. Hiki ni kijiji kinachopakana na Kiwangwa ukitokea Bagamoyo. Shamba lipo kiasi cha 2 hadi 3 km toka barabara ya lami upande wa kushoto ukitokea Bagamoyo.
Bei: Laki saba (700,000) tu kwa heka na zinauzwa zote kwa pamoja. Hakuna dalali.
Mwasiliano: Ukitaka kuliona wasiliana na Adam (0754 774 482).
Muhimu:Zoezi la kuuziana linafanywa kwenye serikali ya kijiji na mnunuzi atatakiwa kulipa 10% ya kijiji na kupewa risiti. Hii ni muhimu sana kwa usalama wa shamba lako maana kijijini kitakulinda.
Angalizo: Utapeli umeanza kunyemelea maeneo hayo kwa sasa kwani ardhi imeanza kuwa tamu baada ya nguzo za umeme kusimikwa na mabomba ya maji kuwekwa ardhini. Ukinunua ardhi hakikisha unashirikisha serikali ya kijiji (mwenyekiti, mtendaji na mjumbe). Usikubali kuuziana kwa kumshirikisha mjumbe tu maana utalizwa.