Shambani kumenoga

Shambani kumenoga

taikuny

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,207
Reaction score
715
Aya wale marofa wenzangu muda ndo huu shamba kumenoga.

IMG-20221213-WA0049.jpg
IMG-20221213-WA0051.jpg
 
Maandalizi ya mashamba
Sipo mbali sana na wewe mkuu
Mwanga Singida/Manyara
 
Kongole mkulima..sisi madalali tunasubiri wakati wa mavuno tuje kukusalimu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kongole mkulima..sisi madalali tunasubiri wakati wa mavuno tuje kukusalimu.

#MaendeleoHayanaChama
[emoji23][emoji23] me mwenye dalali nimeamua kuingia shamban asa sijui tutawezana dalali mwenzangu
 
Back
Top Bottom