Shambani kumenoga

Shambani kumenoga

Mcheki DC na RC mstaafu Ally Hapi akupe maujuzi zaidi kwenye fani ya shamba.
 
Mjitahidi maana mnadaiwa huku deni la taifa
 

Attachments

  • FB_IMG_1670230369732.jpg
    FB_IMG_1670230369732.jpg
    22.5 KB · Views: 20
Utafika, mdogo Mdogo, jifunze pia kucheza na soko kulima sio shida.
Kumbuka me dalali wa nafaka na matunda nalima mazao ambayo na jua soko lake na pia naweza kuyachakata mafano alizet naweza kamua mafuta na kuuza na mahindi pia naweza saga unga nauza kwa oda mashulen n.k sitegemei sana kuuza mazao ghafi mungu ajaalie
 
Kwan walivyokopa walotuambia watatunulia nn ata pipi hawajatununulia isitoshe uku mbolea yenyewe ya mchongo
Wanaotudai wakija kuchukua chao wakija hawaongei wananchi nyie mtasikia tu nchi imeuzwa ....

Chenji wanachukua viongozi wanahama nyie wakulima mnabakia kuendelea kutumikishwa
 
Back
Top Bottom