Shambulio la Israel katika European Hospital kusini mwa Gaza

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Shambulio la Israel katika European Hospital kusini mwa Gaza, ambapo kamanda wa kijeshi wa Hamas Mohammed Sinwar aliangamizwa katika kituo chake cha kamandi kwenye Handaki lililojengwa chini ya Hospitali hiyo.

Umoja wa Mataifa na serikali za Magharibi zilisisitiza mara kwa mara hospitali hiyo haitumiki na magaidi wa Hamas.

Ama hawakuwa na habari mbaya au walikuwa wanadanganya. Vyovyote vile, somo kwa Israeli liko wazi. Hospitali hiyo ilikuwa ikitumika kigaidi.

Your browser is not able to display this video.
​
 
Aiseee Israel awajawahi kukosea
 
European hospital Gaza? Toka Goliath hadi leo hawabadiliki hawa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…