Shambulio la Israel lamuua kamanda mkuu wa Hezbollah nchini Lebanon

Shambulio la Israel lamuua kamanda mkuu wa Hezbollah nchini Lebanon

Unabisha!?
Hizbollah ana;
-Tanks.
-Ballistic missiles.
-Heavy artilleries.
-Multi rocket launchers.
-Attacking drones.
Na ammunitions zingine za kawaida.
Air defense system Iran wako mbioni kupeleka.
Anachokosa Hizbollah ni fighter jets Na nuclear weapons tu pamoja na attacking helicopters.
Umekuwa msemaji wa hezbollah?
 
Duuh!; Yahudi Si mchezo!🙄
Yaani mabomu yanawalenga Makamanda Wakuu tu!
Halafu wanajuajd mahali walipo??
Huyu Nasilalla nahisi ni pandikizi la Yahudi....
Pesa (itakuwa kuna dau watu wanalipwa waseme flan yupo wapi), intelijensia na teknolojia
 
Huyo ni kamanda wa kawaida kijana,acha kuropoka.
Kiongozi mkuu ni HASSAN NASRALLAH.
Tokea October 8 Hizbollah imepoteza makamanda 20 na bado wanapambana.
Hao akifa kiongozi basi mori ya kisasi inapanda zaidi.
Hizbollah sio Hamas,wao wana silaha sawa na Israel.
Cha kuongezea ni kwamba Toka vita ianze Hizbullah imeshapoteza wanamgambo zaid ya 300 na hapo vita haijaanza rasmi.

Hizbullah tuko na nyinyi mpaka nyote muishe
 
Cha kuongezea ni kwamba Toka vita ianze Hizbullah imeshapoteza wanamgambo zaid ya 300 na hapo vita haijaanza rasmi.

Hizbullah tuko na nyinyi mpaka nyote muishe
Una habari kama IDF imepoteza zaidi ya wanajeshi 500 na majeruhi ambao wengi wao ni walemavu wa kudumu takriban 5k!?
Jiulize vita kamili ikianza itakuaje.
 
Cha kuongezea ni kwamba Toka vita ianze Hizbullah imeshapoteza wanamgambo zaid ya 300 na hapo vita haijaanza rasmi.

Hizbullah tuko na nyinyi mpaka nyote muishe
Kamanda ngazi ya juu IDF kawahishwa mbinguni na makombora ya hizbu leo
 
Cha kuongezea ni kwamba Toka vita ianze Hizbullah imeshapoteza wanamgambo zaid ya 300 na hapo vita haijaanza rasmi.

Hizbullah tuko na nyinyi mpaka nyote muishe
Ni zaidi ya 500. Hezbollah wanapukutika
 
Attachments

  • IMG_4964.jpeg
    IMG_4964.jpeg
    374.3 KB · Views: 5
Back
Top Bottom