Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Kenya imeponea shambulio lengine la kigaidi baada ya kikosi cha Anti-Terror ATPU kushika washukiwa wawili kabla ya kuingia kivukio vha Ferry pale likoni , Washukiwa hao wawili walikua ndani ya gari aina ya probox numbari ya usajili KCE 695U.
Tukio hilo la kushika hao washukiwa lilikua la kushangaza wakaazi ambao mwanzo walifikiri ni jaribio (training) kumbe ndo maisha yao yalikua yanaokolewa manake washukiwa hao kama hawangeshikwa ingekua stori tofauti..
Tazama video
Inasemekana infomation iliopeleka kushikwa kwa hili gari na washukiwa wake ilitoka kwa mkenya alierudi kutoka Somalia baada kuenda huko kujiunga na alshabaab...
Kwenye oparesheni hio iliofanywa na ATPU pia kulionekana komando mmoja wa kutoka kikosi maalum cha NIS (Intelligence) akiwa na vazi la brown, ambaye ndo inasemekana alikuja na hio infomation na kuwapatia ATPU ndo oparesheni ifanyike kwa dharura bila kupoteza wakati...
Kwenye buti la gari kulipatikana AK-47 mbili zikiwa zimefichwa vizuri, mimi nashuku jamaa walikua wanalenga hoteli za huko South Coast manake kumekua na watalii wengii walioingia Kenya tangu mwezi uanze, alafu bunduki zenyewe zilikua zimefichwa kwa buti kwahivyo sidhani kama shambulio ilikua lifanyike hapo kivukoni au kwenye ferry manake wangepatikana kama tayari wameshazishikilia mkononi tayari kwa mashambulio... Lakini hata hivyo, tushukuru kwa washukiwa hawa wawili kuzuliwa kufanya chochote walichokua wamekipangia!
Hii ni taarifa ambayo bado haijaripotiwa vizuri, habari tulizopata ni za kutoka kwa watu binafsi, Kwahivyo baadae kukitollewa habari rasmi kwa vyombo vya habari vinavyotambulika ama serekali yenyewe basi ntaileta hapa ili tupate habari kamili.