Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana

They have made us Stronger and united than ever
 
Ukweli kwa mujibu wa ujinga wako, siyo? Nani alikuambia hao watu wako wa EAGLE ni wataalamu mno kwenye shabaha? Ulivyo mjinga unajifanya kusahau kwamba yule EAGLE wako aliyemtisha Nape kwa bastola ali behave kiwango cha chini sana kiasi cha kutilia shaka utendaji wa jumla wa hao EAGLE wako. Kwanini kama una akili usifikiri kuwa EAGLE wanaweza pia kutenda, kwa makusudi, kwa namna ambayo wajinga kama wewe muwe wepesi wa kuwaondoa katika kuwahusisha? Ripoti za karibuni kabisa zinaeleza kuwa katika kipindi cha mwaka mmoja hapa nchini kumekuwa na ongezeko la wagonjwa wa akili kutoka laki sita hadi laki saba, haitashangaza kama nawe ni miongoni mwa hao laki moja!
 
Kweli kabisa hapo hata wale wanaojulikana wanaweza kutumia kivuli cha wasiojulikana kutimiza malengo yao ili jumba bovu liwaangukie wale jamaa....ama yoyote kati ya hao uliowataja wanaweza kuwa ni wahusika...ila pia inawezekana kukawa na watu wenye chuki tu na mheshimiwa nao wakataka kutumia kivuli cha wale jamaa.
 
Wale jamaa did a dirty work so as to send a message to every activist wannabe! That is how drug dears and gangs roll.

Kuhusu kutommaliza Lissu, hayo ni maajabu ya Mungu. Only one in a million would survive such a rain of bullets. Tena those guys are not that clinical, they were caught napping when Kibiti hell broke loose. Tunashukuru ya Kibiti yameisha, ila yametusaidia kujua kwamba wanatumia resources nyingi kujua ya chadema na CUF kuliko kujikita ktk miji ambayo ni hotspots za ugaidi.
 
Nnape ambaye ni kuni mbichi alichomolewa bastola hadharani mbele ya kamera kwasababu ilionekana atakayoyasema yatamu-undermine mkuu, sasa kwa TL ambaye ni kuni kavu mnategemea nin?

Kuhusu uchaguzi wa chadema wa ndani, hiyo ni motive kwa wasiomjua Lissu. Lissu sio powermonger kama Zitto, cheo chochote atakachopata ndani ya chama kitakuwa cha kupewa. Ikumbukwe amefanya kazi kwa miezi kadhaa kumtetea Chacha Wangwe mpaka Mbowe akajua jamaa ni mwanachama wa chadema, kumbe bado alikuwa na kadi ya Nccr mageuzi. Raha ya Lissu ipo ktk kutetea wanyonge, sio ktk madaraka. Na hata angetaka uongozi angepata au angepewa bila kinyongo maana sio kibaraka wala msaliti.
 
Inaonekana leo umejisaidia bila kuchamba na kama umechamba basi wewe ni kichamba-mavi!!!
 
Kuhusu Zitto kupewa sumu, mimi nawalaumu waandishi wetu wa habari na akili zao fupi kama mkia wa nguruwe. Zitto aliugua akiwa ktk kikao cha chama bagamoyo kama sikosei. Akaugua tumbo akalazwa agha Khan. Taarifa ya madaktari ikasema tatizo la Zitto ni 'food poisoning'.

Makanjanja wetu walivyoona neno poisoning wakajua maana yake amepewa sumu. Kimsingi food poisoning ni kuchafuka kwa tumbo. Kunatokea ukila chakula kichafu au ukila chakula halafu kikachacha tumboni kutokana na kuchelewa kumeng'enywa. Ni mwendo wa kuhara. Ni nan hajawahi kuchafuka tumbo?

Kitu cha kusikitisha tafsiri ya kupewa sumu ilitolewa na gazeti la Mwananchi ukurasa wa kwanza, gazeti kubwa kuliko yote Tanzania kwa market share. Sishangai mkuu Pasco kuendeleza hii stori inayotokana na tafsiri ya uongo ya food poisoning. Wangekuwa na akili hawa waandishi wetu wangeuliza aina ya sumu (chemical composition) aliyopewa. Zitto nae alivyo mjanja na Mafia wa siasa akaitumia fursa hizo kupata sympathy approval.

Kama chadema ina historia ya kuua viongozi wake basi wachunguzwe, washtakiwe na wafungwe. La sivyo ni propaganda tu.
 
 
Mkuu paskalis,ili kupunguza na kuondoa kabisa hizi conspiracy theories kwanini hii gvt isilete Scotland yard or FBI?we need answers and we need them quickly
sasa ukiwaleta hao huoni nchi itapigwa madochi? Maana hao hawaji kwa lengo moja tu ! Ni multipurpose
 
mwizi yule kuleeeeee , mwizi kakimbilia hukuuuuuuu . Hatimaye mwizi anatokomea kusikojulikana bila kukamatwa. Maana wakimbiza mwizi wanachanganywa ili mwizi asijulikane kakimbilia wapi
 
Naona unalengo la kuwatetea na kuwaangushia jumba bovu Chadema.Ila habari ya kupona Lissu binafsi naitazama kuwa ni uweza wa Mungu tu.Pascal husitumie nguvu kubwa Lissu alishasema anafuatiliwa na akawataja aliowadaka wakimfuatilia.Kama wasingekuwa wao basi kwa kuestimate namna serikali itakavyochafuka pale Lissu angeingia matatizoni basi wangefanya juhudi uwadaka ili serikali hisijekuchafuka pale Lissu angepata matatizo.
 
Sometimes hata ikijulikana sio "wale jamaa zetu" ni "inside job" hizi huwa haziwekwi hadharani ....wana tradeoff then huku kitaa tunabaki na conspiracy zetu ....sisi wananchi ndio tunaweza kuamua uelekeo wa siasa zetu ....tukiamua kuishi kishabiki na uzandiki wa vyama HATUTOFANIKIWA .....
 
itajulikana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…