Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana

Dah ....umeandika maneno meeengi utafikiri una uhakika .....kazi ipo ...
 
Hofu yatanda nchi nzima.




K
 
Let me tell you Paschal we don't care the name of those guys because I believe they were all men. We don't even want to know them as long as God knows them. We do believe one very good day and that very good day is much more sooner than later the almight God will reveal them to us. Let's just keep on praying for his quick recovery. Mind you kama Siyo Mungu ni nani aliyemuokoa na kifo baada ya kupigwa risasi 38? Mark my words Paschal God is over and above our reasoning. Be and remain blessed
 
Acha ujinga wako Lisu na yy ujue Mungu alimlinda hao EAGLE ndiyo walikwenda lakini Mungu akamlinda wakapiga Risasi kizembe kwa kuwa Mtoa Amri Maliyamungu alikuwa kwenye Nissan nyeupe, EAGLE na ushetani wao walizidiwa na nguvu za Mungu pia kamati za Ufundi za Maliyamungu Bashite na zile za Lipumba na kambaya zilifeli Mungu aliwazidi maarifa, Usipindishe Ukweli Tambua watanzania wote wanajua kuwa tukio lote limepangwa na kuratibiwa na Maliyamungu Bashite kwa kushirikiana na Lipumba na watu wao wasiojulikana kwa watanzania lakini kwao wao wanajulikana wakiletwa FBI wanatoa jawabu kwa mda mfupi ajabu.
 
Hawawezi rafiki kufanya hivyo. DAB alitakiwa awe mahabusu siku nyingi tu lakini hakuna wa kumgusa. Bashe alisema haya Bungeni lakini Bunge kimya limeuchuna wamebaki kufanya yasiyo na tija yoyote kwa Watanzania ya Ndugai kuonyesha ubabe wake dhidi ya Wabunge wa upinzani lakini hili la Bashe kalipotezea maana linagusa kikosi maalum cha watu wasiojulikana chini ya jambazi na muuaji Bashite Maliyamungu muuaji.


Nadhani hawa wanawajua wasiojulikana kama TCRA ikiwatafuta na kuwauliza inawezekana wakawataja wasiojulikana
 
Mungu ndiyo alimlinda Lisu asife pale pale huyo Lipumba na Maliyamungu Bashite waratibu wa Tukio sasa roho zinawauma wanashinda kwa waganga wa kienyeji kutwa wakiamini watanzania ni wepesi wa kusahau watawasahau mapema
 
Paskal kazunguka sana, lakini ukweli utajili soon. Ngoja tuone majibu ya visomo na maombi ya watanzania.
 
Huu ujuzi wa 'watu wasiojulikana' ulianza siku nyingi wakati CDM ilikuwa changa sana hawakuwa na sababu wala "ujuzi" huo
Wenye ujuzi,sababu,historia na vitendea kazi wanajulikana na marafiki zao wanao yafanya haya nchi jirani wanafahamika na klla mtu

Huo ndio ufumbuzi wa fumbo
 
Bashite mtu asiejulikana kipenz cha kaisari
 

Ni kweli kabisa miaka hii mitano sijui watu wangapi watakuwa wameuawa na hawa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…