Wewe leta dharau tu na siku ikianza kujibu uikimbie humu!Leo albadiri mnasomea wapi ,kyela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe leta dharau tu na siku ikianza kujibu uikimbie humu!Leo albadiri mnasomea wapi ,kyela?
Dah ....umeandika maneno meeengi utafikiri una uhakika .....kazi ipo ...Usipate Shida kuzunguka mbali hii movie ya Sasa ilibuniwa na kuratibiwa na Maliyamungu Bashite wa Dsm mjukuu wa Maliyamungu wa enzi za idd Amin Dada , ambaye alikwenda Dodoma na alikuwa ndani ya Nissan nyeupe akitoa Amri, kwa kuwa si mzoefu wa Umafia alitoa Amri za kukurupuka kwa Uoga mwingi ndipo wapigaji Risasi wakapiga kwa haraka pasipo kulenga vizuri wala kushuka kuthibitisha kama lengo limetimia, oparation ilifabywa na mtu ambaye sio mzoefu ndiyo maana ilifeli kama mission zake nyingi ikiwemo ya Roma na clouds, Le mutuz Jerry muro na Lipumba wanajua A-Z ya Sinema zote wakiletwa FBI, Scotland Yard wakawahoji ndani ya Dk 20 tu watabaini Ukweli wote kwani tukio la Lisu lipo wazi ingawa vijana wa Le mutuz wapo busy saa 24 mitandaoni kutengeneza propaganda na Uzushi wa kuwatoa watanzania kwenye njia sahihi ni vigumu kuwabadili ni vyema pesa anazopewa le mutuz zitumike kujenga Hosptal kubwa ya kisasa Zanzibar na Dsm iwaajiri madaktari toka india, ulaya na marekani watanzania na Nchi jirani waje kutibiwa kuliko kupoteza mabilioni kuwalipa hao wajinga kutengeneza propaganda na mipango ya hovyo hovyo isiyo na Tija kwa Taifa.
Mkuu usipoteze lengo,Watanzania wote wanajua kuwa raisi wetu hataki kukoselewa,watanzania wote wanajua kuwa Tundu Lisu ndie mkosowaji mkubwa wa raisi....
Watanzania wanashuhudia vipi mawakili wanachomewa moto au kupigwa mabomu offisi zao....,labda uwe huna akili timamu ili usifahamu nini kinaendelea Tanzania hivi sasa..
imeanza kujibu kigoma hujasikia?Wewe leta dharau tu na siku ikianza kujibu uikimbie humu!
Acha ujinga wako Lisu na yy ujue Mungu alimlinda hao EAGLE ndiyo walikwenda lakini Mungu akamlinda wakapiga Risasi kizembe kwa kuwa Mtoa Amri Maliyamungu alikuwa kwenye Nissan nyeupe, EAGLE na ushetani wao walizidiwa na nguvu za Mungu pia kamati za Ufundi za Maliyamungu Bashite na zile za Lipumba na kambaya zilifeli Mungu aliwazidi maarifa, Usipindishe Ukweli Tambua watanzania wote wanajua kuwa tukio lote limepangwa na kuratibiwa na Maliyamungu Bashite kwa kushirikiana na Lipumba na watu wao wasiojulikana kwa watanzania lakini kwao wao wanajulikana wakiletwa FBI wanatoa jawabu kwa mda mfupi ajabu.Ukweli lazima tuseme CHADEMA they are behind this well planned na mwenyekiti na mwenye chama THUS WHY kila siku tunasema humu FAMILIA ya LISSU they are should be more close na ndugu yao kuliko hao kina mbowe...WASIWAAMINI KABSA
Watu vwa EAGLE kamwe hawezi kupiga risasi kizembe hivyo na kama kweli wangekuwa ni wao lazima wangeakikisha LISSU kapotea kabsa kwenye USO WA DUNIA hiyo ndio one of the principles za watu wa EAGLE.....
Afu suspect mwingne ambaye naweza amini kabsa anaweza kuwa BEHIND this ni hawa CUF MAALIM...tuna wasahau sana hawa jamaa......na wao the only option ya kupambana na SERIKALI YA CCM ni kutengeneza matukio ya namna hii
Tumuachie mungu wakuu' mungu yupo na hakika kazi yake imetukuka ' ole wao wanafiki mbele za munguMafumbo lakini tumekuelewa mwanabodi
Nadhani hawa wanawajua wasiojulikana kama TCRA ikiwatafuta na kuwauliza inawezekana wakawataja wasiojulikana
Mungu ndiyo alimlinda Lisu asife pale pale huyo Lipumba na Maliyamungu Bashite waratibu wa Tukio sasa roho zinawauma wanashinda kwa waganga wa kienyeji kutwa wakiamini watanzania ni wepesi wa kusahau watawasahau mapemaLet me tell you Paschal we don't care the name of those guys because I believe they were all men. We don't even want to know them as long as God knows them. We do believe one very good day and that very good day is much more sooner than later the almight God will reveal them to us. Let's just keep on praying for his quick recovery. Mind you kama Siyo Mungu ni nani aliyemuokoa na kifo baada ya kupigwa risasi 38? Mark my words Paschal God is over and above our reasoning. Be and remain blessed
umeelewa kuwa Bashite Maliyamungu na Lipumba ndiyo walipanga kila kitu? au umeelewa nini? kama hujaelewa hivyo utakuwa haujaelewa kitu.Mafumbo lakini tumekuelewa mwanabodi
umeelewa kuwa Bashite Maliyamungu na Lipumba ndiyo walipanga kila kitu? au umeelewa nini? kama hujaelewa hivyo utakuwa haujaelewa kitu.Mafumbo lakini tumekuelewa mwanabodi
Kwani mipango ya hovyo hupangwa kwa maneno machache? au Lipumba kakutuma uje useme hivyo?Dah ....umeandika maneno meeengi utafikiri una uhakika .....kazi ipo ...
Watu wasiojulikana wanaweza kwenda kwake leo? au unamaanisha nini fafanua vizuri ili pasco ajue mapema.Pascal bora ukae kimya ujue bado tunakuhitaji.
Bashite mtu asiejulikana kipenz cha kaisariWanabodi,
Tangu kutokea kwa shambulizi kwa Tundu Lissu, ambalo mpaka sasa linaelezewa kufanywa na watu wasiojulikana, kumeibuka shauku kubwa ya kuwabaini hawa watu wanaoitwa kuwa ni watu wasiojulikana huku zikijengwa dhana mbalimbali kuhusiana na wasiojulikana hawa, hadi kufikia kuwanyooshea vidole baadhi ya watu, wakiwemo wale "jamaa" zetu.
Kufuatia taarifa nyingi za watu wasiojulikana kuhusika kwenye baadhi ya matukio na Jeshi letu la polisi ndio mamlaka rasmi ya kufanya uchunguzi na mara zote hutoa taarifa kuhusu kuhusika kwa wasiojulikana ambao mwisho wa siku hubakia hivyo hivyo kuwa wahusika wa tukio fulani ni watu wasiojulikana, kumbe sometimes sii kweli kuwa wahusika ni watu wasiojulikana, sometimes wahusika wa matukio hayo sio watu wasiojulikana bali ni watu 'wasiojulikana'.
Hivyo hili ni bandiko la kuwahusu watu wasiojulikana ambao mwisho wa siku baada ya uchunguzi wa kipolisi, watajulikana, lakini pia kuna mashambulio yanayofanywa na watu 'wasiojulikana', ambao kamwe hawatajulikana!.
Haswa pale ambapo 'wasiojulikana' ni wale "Jamaa Zetu"!.
Hebu fuatilia jinsi hawa ,"Jamaa zetu" 'wasiojulikana', wanavyotekeleza mashambulizi mbalimbali na sometimes hadi na mauaji in a very clean job and professional way hivyo kamwe hawawezi kuja kujulikana, hivyo kubaki ni watu 'wasiojulikana', daima.
1. Kuna kiongozi mmoja mkubwa serikalini anayesemekana alikufa kwa ajali ya gari, ila mwili wake ulikutwa na majeraha ya kitu fulani, inasemekana ni wale "jamaazetu".
2. Aliyekuwa Waziri wa Fedha wa Mwinyi, Kighoma Malima alipo defect kutoka CCM na kujiunga na NRA, aliugua ghafla na kupoteza maisha. Inasemekana ni wale "jamaa zeta".
3. Horace Kolimba akiwa CCM high ranking oficer, aliposema CCM imepoteza Dira na Haina Mwelekeo, alipoteza maisha kwa kuugua ghafla. Ikasemekana niwale "jamaa zetu"
4. Kiongozi mwingine mkubwa wa serikali alifariki ghafla baada ya tuu ya kukamilisha ziara ya kutembelea maonyesho ya Saba Saba, mmoja wa hao "jamaa" akajiunga jf na kutueleza kila kitu kuhusu madudu yao humu na kutueleza humu hiyo ni kazi, ya wale "jamaa zetu".
5. Tukio la kutekwa kwa Dr. Ulimboka, Absolom Kibanda, Roma Mkatoliki, Mwandishi wa habari wa DW, Salma Said, na kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, pia kukihusishwa na wale "Jamaa zetu" 'wasiojulikana'.
6. Tukio la Uvamizi wa Kituo cha TV cha Clouds TV kilichofanywa na wale makirikiri wenye silaha wanasemekana ni wale ""jamaa zetu" na walitumia Nissan Patrol Nyeupe!.
7. Yule mpuuzi aliyemnyooshea Nape bastola, anajulikana kwa sura katika media zote, na alikuja kwa kutumia gari aina ya Nissan Patrol Nyeupe, naye licha ya picha yake na sura yake kuenea kote kuanzia kwenye mainstream media hadi kwenye social media, lakini na yeye a anaelezewa kuwa ni mtu 'asiyejulikana'!. Taarifa za chini chini zinaeleza huyu jamaa ni miongoni mwa wale jamaa "jamaa zetu".
8. Huyu Blogger wa Kenya amesema haya kwenye mitandao ya kijamii, hadi akataja majina ya wahusika na magari yaliyohusika ikiwemo hiyo Nissan Patrol Nyeupe na sijasikia yoyote akikanusha taarifa ya blogger huyu!, hata serikali yetu kukanusha. Hivyo sometimes silence ni admission of guilt, kwa vile ni 'wasiojulikana", hawana sababu ya kujibu lolote wasije wakajulikana!.
Hii inapelekea mimi kujiuliza maswali haya.
Conclusion Kuwahusu hawa Watu Wasiojulikana na 'wasiojulikana', acording to the motive behind the shooting.
- Kama wahusika wa Tukio la shambulio la Tundu Lissu, ni wale "jamaa zetu", kwa vile wale ni ma pro, and they have never missed the target, kama ni kweli ni wao, how could they missed the target?. Hawa watakuwa sio wale!, na kama ni wale, saa hizi tungekuwa tunazungumza mengine!. Unless wamejifanya to miss the target makusudically ili kupiga maboya kwa kupoteza lengo ionekane ni amateurs.
- Kama they have 100 ways to do elimination in a good way, on natural death, look like, accidents, or any clean job that nobody would've suspected anything, why do such a dirty job?.
- Was Tundu Lissu such a threat to status quo ya yule boss wao?, kama kuna defectors very high rankings wame cross na wamejizolea kura nyingi kuliko zilizomuingiza Kikwete madarakani ile 2010, hawa ndio the real threat!, kwa nini hawa wasiwe targeted?. Why Lissu?.
- What if ni kutokana na issue nyingine yoyote na sio siasa?.
- Kama kuna chama viongozi wake waliwahi kutuhumiwa kupanga vitendo vya ugaidi na utekaji na video zikaletwa humu, hawawezi kuwa ndio wao waliopanga mpango huo?, kwa kufanya timing ya Dodoma ili wadhaniwe ni "wale jamaa?".
- Kama Wangwe alipotaka kugombea uenyekiti alikufa kwa ajali yenye utata mpaka kesho, na huu ni mwaka wa uchaguzi wa ndani, haiwezekani ikawa ni inside job ya friendly fires?.
- Kama Zitto alipotaka kugombea alifanyiwa life atempt kwa sumu, lakini kwa vile ameaga kwao, akasalimika, haiwezekani na Lissu pia kwao ameaga na ndio maana amesalimika?.
- Kama Mlinzi wa Dr. Slaa, alihudumiwa hivi,watu wanaoweza kushughulikia hivi binadamu wenzao, they are capable of doing anything, then haiwezekani hii sasa ndio the advanced methods za kudeal na the internal threats zao?.
1. Kama the motive behind the shooting ya Lissu ni kwa sababu he is jvery vocal hivyo kuonekana ni mwiba, then hawa wanaoitwa ni wasiojulikana, kiukweli sio wasiojulikana, hawa watakuwa ni 'wasiojulikana' ambao ni wale "jamaa zetu", kama ni wale "jamaa zetu", then hawa sio watu wasiojulikana, hawa ni watu 'wasiojulikana', kama yule mpuuzi aliyemshikia Nape bastola ni mtu 'asiyejulikana' na mpaka leo hajulikani na kamwe hatajulikana, and if this being the case, then watu hawa hawatajulikana kabisa, hata yule aliyetajwa na blogger wa Kenya, pia ni mtu 'asiyejulikana'. Ila hukumu ya karma itawahusu wahusika wote.
2. Kama the motive behind the shooting ya wasiojulikana hawa ni partly politics ya siasa za ndani na run of kuelekea 2020, then polisi wetu waendelee na uchunguzi, soon watasalitiana na tutawabaini na watu wa tabaki midomo wazi kwa kutoamini.
3. Lakini kama the motive behind wasiojulikana hawa ni hawa wezi wa rasilimali zetu na lengo lao ni kutufarakanisha sisi na serikali yetu kwa kutuhamisha kwenye hoja ya rasilimali zetu, ili tusahau makinikia, Tanzanite, Dhahabu, Almasi na Gesi, then, hawa, sisi as sisi, hatuna uwezo wa kuwabaini bila msaada wa Scotland Yard, ila, kwa vile tayari, tumeisha wastukia nia yao ovu, hatuta farakana, tutasimama firm as one, and under th e united front. Kama lengo ni ili tufarakane, tuichukie serikali yetu kuwa ni ya kidikiteta, na kuanza kufanya vurugu, tukifarakana, tutakuwa tumewapa walichokitaka, tusikubali kufarakana, kwa kufakaranishwa na wafakaranishaji hawa, lets stand together as one, tupendane, tuheshimiane, tuvumiliane, tustahimiliane, tubishane bila kupigana, tukubaliane kwenye maslahi ya taifa na ikishindikana tukashindwa kukubaliana, then tukubaliane kutokubaliana lakini mwisho wa siku, wasiojulikana wajulikane lakini 'wasiojulikana', sijui.
We Wish TL To Get Well Soon.
Paskali
Hawawezi rafiki kufanya hivyo. DAB alitakiwa awe mahabusu siku nyingi tu lakini hakuna wa kumgusa. Bashe alisema haya Bungeni lakini Bunge kimya limeichuna wamebaki kufanya yasiyo na tija yoyote kwa Watanzania ya Ndugai kuonyesha ubabe wake dhidi ya Wabunge wa upinzani lakini hili la Bashe kalipotezea maana linagusa kikosi maalum cha watu wasiojulikana chini ya jambazi na muuaji Bashite.