Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana

Waliosikiliza VOA leo kina kitu mmeskia,kutokusonga mbele kwa Africa shida ni siasa zake,

Leo kijana shupavu wa K.Kaskazini anajilinda vilivyo,wachambuzi wamesema kiukweli kwamba hataki vita,bali hataki pia wa kumnyasanyasa(usicheke)
Sasa sisi badala ya kupambana hivi vicheko vya wazungu,tunaendeleza mambo ya ki 72 kweli?


Maemdeleo lini?
 
Hapo ndipo ukweli ulipolalia Chadema wako tayari kwa uchunguzi huru chini ya FBI au Scotland Yard. Wahusika wa shambulizi hawataki uchunguzi huru ili dhambi zao zisiwekwe hadharani. Zaidi ya wiki polisi hawajasema ni nani mmiliki wa gari ambalo lilikuwa linamfuatilia Lissu na yeye kuweka plate number za gari hiyo hadharani. Hadi hii leo polisi imeamua kuwa kimya kuhusu walinzi wa geti kwenye makazi ya waheshimiwa. Hawataki kusema kama wamehojiwa au la lakini wanalalama kuhusu dreva wa Lissu! Bashite ni mtekaji, mtesaji na muuaji.

Kama unawahisi CHADEMA wao wamesema ufanyike uchunguzi huru imebaki GOT kukubali au kukataa huo uchunguzi.Na nahisi ungekua mbele ya GOT officials useme ruhusuni uchunguzi huru yawezekana ungepata matatizo.
 

Umesahau ya tatu na muhimu siku ya tukio.. "Ni heri mtu mmoja afe lakini rasilimali za taifa zipone"
Huyo Pasco anataka kutuletea maigizo ya watu wasiojulikana
 
Excellent...watu wako busy kuwakabili wez...mtu mwingne kwa ujuzi wa sheria anawatetea af anajikosha kwa wananchi..ni upuuzi mkubwa...hakuna kuremba
 
[paskali]Unataka kuwachanganya watu ili wamsimkamate mwizi maana unaleta story nyingi za kuzubaisha watu ili umpe nafasi mwizi akotokomee kusikojulikana,unaonekana na wewe ingawaje kwa kujificha unashirikiana na mwizi!!!
 
Just hit the point brother, propaganda haiwezi kukutoa, mchawi anajulikana kwa uwazi kabisa kwa maneno na matendo, mara ngapi kumekuwepo na taarifa za watu kupotea na kuokotwa miili ya watu waliofariki kwa njia zisizokuwa za kawaida? Pamoja na kuwa suala la usalama ni la kila mmoja wetu inapotokea kwamba fulani hayupo salama au usalama wake upo mashakani nani anawajibika kumhakikishia raia usalama wake? Usipoteze uelekeo.
 
Hapo PASKALI unatakiwe ujibu na wala kuzunguka mbuyu jamaa hapa kasema kweli na hakikia kabisa,nina Imani hutaangalia kushoto wala kulia bali utapita katikati ambapo ndipo kuna ukweli!!!!
 
Hapo PASKALI unatakiwe ujibu na wala kuzunguka mbuyu jamaa hapa kasema kweli na hakikia kabisa,nina Imani hutaangalia kushoto wala kulia bali utapita katikati ambapo ndipo kuna ukweli!!!!
Mkuu Echolima, hii ndio essence ya bandiko hili, kuwa kuna watu wasiojulikana, na 'wasiojulikana', nikasema kama shambulio limefanywa na watu wasiojulikana, then uchunguzi utatuwezesha kuwabaini hao watu na watajulikana!, lakini kama shambulio limefanywa na watu 'wasiojulikana', then hawa kamwe, hawatajulikana!. Hii inamaanisha kama ni 'wasiojulikana', then hakuna uchunguzi wowote utaoweza kuwabaini 'wasiojulikana' hawa!, na nikatolea kabisa mfano hai wa yule mpuuzi aliyemnyooshea Nape bastola, gari aliyokuja nayo ni Naissan Patrol Nyeupe, picha yake, sura yake na bastola yake zote zimeenea kuanzia kwenye maintream media hadi social media, lakini na yeye ameelezwa ni mtu 'asiyejulikana'!, then ndipo nika conclude, kama wasiojulika hawa ndio hawa 'wasiojulikana', then kamwe, hawatakuja kujulikana, ila only karma ndio ita take care of them!.

Paskali
 
Mkuu paskalis,ili kupunguza na kuondoa kabisa hizi conspiracy theories kwanini hii gvt isilete Scotland yard or FBI?we need answers and we need them quickly
Kweli mkuu, ila kwa vile kamati ya bunge ya ulinzi na usalama ni ma zombi ya mhimili uliojichimbia chini zaidi hilo halitaguswa kabisa, sana sana watakuja na ile slogan ya karne iliyopita. "Vyombo vya ulinzi havitalala hadi wapatikane" ukitahamaki wake zao wana ujauzito, sijui waliwamimba wima bila kulala?
 
Hawalali ya vyombo vya ulinzi na usalama ni kufanya kazi kwa 24/7 kwa kutumia shifts 3 za 8 hrs each.

Hivyo hata wale wa zamu za usiku kucha, mchana kutwa wako off, hivyo there is always enough time kutengeneza watoto, unless ulidhani watoto wanatengenezwa usiku tuu!.
P
 
Nimesoma ukawa unaenda vizuri tu. Nilipofikia hapo auliposema "Walimiss target" nikaachia hapo.

Wewe kwa maoni yako wale wauwaji walimiss target? Kauli gani hiyo? Au kwasababu deep inside hutaki kuamini
 
Mkuu umepotea maboya kabisa
 
Nimesoma ukawa unaenda vizuri tu. Nilipofikia hapo auliposema "Walimiss target" nikaachia hapo.

Wewe kwa maoni yako wale wauwaji walimiss target? Kauli gani hiyo? Au kwasababu deep inside hutaki kuamini
Mkuu Jei Mushi, hakuna kitu kibaya kama kuwajaza the desperate expectants too much expectations za matumaini hewa!.

Tangu kutokea kwa shambulio hilo, kuna watu wako busy at pointing fingers as they are 100% sure wana uhakika ni fulani!.

Nilichosema humu ni kuwapa tuu options wasiwe too sure ni fulani, kwa sababu huyo fulani ni pro, hivyo kama ni pro, hawawezi ku shoot randomly kivile na ku miss the target. Watu wenye kazi zao, they usually finish the job, na nikawawekea na mifano hai ya jobs well done, no suspicious circumstances, they left no trail, no trace!, unless 'wasiojulikana' hawa walidhamiria kufanya hovyo ili kupoteza lengo!, hivyo it could be some others and even a friendly fires!.
P.
 
Unakosea unaposema "walimiss target ", siyo kweli mkuu. Rather, "target was not eliminated".

Na hizo zinatokea sana tu. Hata special forces wenyewe huwa inawatokea. Kuna wanaopona baada ya kupigwa grenades. Kuna ambaye rocket propelled grenade ilipigwa ikatuwa kwenye mwili wake, lakini haikuexplode.

Sasa ndo unataka kushangaa hii ya Lissu kutokufa kwenye shambulizi as it walifanya shambulizi hawakukujuwa wanachokifanya?

Hao unadai waliacha no trails ni nani hao? Kama unatolea mifano ya kina Kolimba no, hao bado walikuwa karibu sana na ccm na sumu kuwekewa ni rahisi especially kama bado alikuwa anakaa na hao ccm wenzake nk. Ni rahisi zaidi pia kuwaondoa watu wenzako wa system.

Hata yule mrusi Livtichenko kama sijakosea, ambaye aliwekewa sumu London na ma spy wa KGB, ni kwasababu bado alikuwa amawasiliana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…