Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana



Onestone

Haa haaa haaa haaaaa
 
Vipi lakini mkuu hao wanaonyooshewa vidole nini maoni yako kifikra na kimtizamo
 
Kesi zote serikali ndio yenye wajibu wa kuzipatia majibu, lakini majibu hayawezi kupatikana kwa sababu serikali haiko tayari yapatikane.
Sishangai wanapowakataa scotland yard.
 
Wakati mwingine Mungu anawaumbua watu. Hao unaowaita EAGLE inawezekana kabisa wakafanya uzembe. Kumbuka suala la Ulimboka hakuna asiyejua ni hao jamaa, na Mwanahalisi lilipowafunua likafungiwa. Kwa suala la Comrade Lissu sio lazima uwe na akili nyingi sana kujua nani mhusika. Mkuu alishatangaza hukumu; "katika vita hii ya uchumi huwezi kuwa msaliti ukaendelea ku survive". Unadhani maana yake ni nini? Ni nani aliyepinga hatua za serikali hii kuhusu madini zaidi Lissu. Na Mungu ni mkuu kama isingekuwa CDM Lissu angemaliziwa Muhimbili. Mungu ni mkuu amemponya Lissu na Mungu ana makusudi yake. TUTOE MUDA KIDOGO TUTAJUA NINI YALIKUWA MAKUSUDI YA MUNGU KUMUOKOA LISSU.
 
Hivi kuna polisi yeyote asiyependa uhai wake anayeweza kujitia kimbelembele kupeleleza characters wa hii movie ya TL?
 
Comrade Paschal Mayala a.k.a NJAA,
Naona sasa njaa inakusumbua. Hiki ulichoandika hapa kinadhihirisha hivo!!!
Tunajua Rais John Pombe Magufuli toka Chato Kanda ya Ziwa na wewe ni Msukuma kutokea Kanda hiyohiyo. Kwa watu waliosoma Saikolojia wanaweza kukusoma vizuri sana kwamba sasa unatafuta kuganga jina lako,'NJAA"!!

Andiko lako hili hakika linasikitisha na naonekana unajikomba kwa Msukuma mwenzio ili na wewe ukumbukwe katika ufalme wa nchi yake, Tanzania ya Magufuli na siyo ya Watz...!!
Watu wasiojulikana ni lugha ya kupumbaza Watz wengi ambao Serikali ya CCM imekuwa ikiwaona ni mazuzu, mbumbumbu, wasiojitambua na watu wasahaulifu katika dunia hii ya Mwenye enzi Mungu. Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu watu 'wasiojulikana' wapo na wanajulikana vizuri sana ila Serikali ya CCM kwa maksudi haitaki kuwataja au kuwakamata kwa vile itakuwa inajivua nguo yenyewe.....!!1

Kuhsu watu waliomshabulia TL mchana kweupe, kwenye mazingira ambayo wanakaa baadhi ya Viongozi Wandamizi wa Serikali na wakaweza kutoroka bila ya kujulikana ni jambo lisilowezekana. Kwamba shambulio limefanyika mchana kweupe kwenye maeneo ambayo kuna ulinzi wa uhakika ambako kuna Ma-gate na walinzi wa SUMA-JKT wanaoaminika, na hakuna hata mlinzi mmoja wa SUMA JKT alifyatua risasi ili kuonyesha angalao kulikuwa na juhudi za kupambana na wahalifu hao...!!Hii inaleta shaka kubwa. Lakini kama hilo halitoshi maeneo hayo yana CCTV Camera ambazo masaa 24 zinafanya survaillance ya ku-record matukio yote yanayoendelea sehemu hizo.....!!1

Je, Mr. Njaa hivi unajua kwamba zile CCTV camera zilizokuwa zikifanya kazi pale mpaka siku ile ya tukio kwa sasa HAZIPO TENA? Kwamba zimeng'olewa na kuondolewa kabisa na hazijulikani zilipo mpaka sasa...!!!Kama una akili na husumbuliwa na NJAA hebu jiulize tu KWANINI ZILE CAMERA ZIMEONDOLEWA???Je, nini kinafichwa hapo...??

Halafu mtu kwasababu ya NJAA yako unakurupuka tu kwamba CHADEMA wanaweza kuwa wamefanya shambulio hili kwa ajili ya mikakati ya Uchaguzi wa 2020!!!Napenda kukuhakikishia Mr. Njaa kwamba huo ni uongo ambao hata shetani mwenyewe anakuogopa wewe kwa uongo huo wa kutunga ili kuwachanganya Watanzania hasa wasiojitambua....!!

Kama ndiyo CHADEMA walipanga shambulio hilo kwanini CCTV Camera zing'olewa hapo area D??? Maana kama Serikali ya CCM wanasema CDM wenyewe wamejilipua basi ilikuwa ni vizuri sana kutumia hizo CCTV camera kuwabaini hao washambulizi waliotumwa na CHADEMA ili wakamatwe, washitakiwe na hatimaye wabanwe na waseme ni Viongozi gani wa CHADEMA wanahusika kama ni Lowasa, Mbowe, Sumaye,Nasari, Sugu,Mdee, Bulaya, Mnyika au yeyote washtakiwe na wafungwe na hapo CCM watakuwa wamewamaliza CDM kwa urahisi kabisa badala ya kuhangaika nao kuwakamata kila siku mtaani kwasababu zisizo na kichwa wala miguu.....!!

Mr.Pascal Njaa endelea kupiga ndogondogo ili Msukuma mwenzako akukubali kwa kujaribu kuwapakazia CHADEMA kwamba wao ndio walipanga na kutekeleza shambulio la Lissu na mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini huu upuuzi wako unaotaka kuwaaminisha watu wasio na akili timamu.

Mr. Njaa hebu fikiria kuwa Tundu Lissu angelikuwa ni kaka yako, mdogo wako au binamu yako awe amefanyiwa unyama kama huo halafu unakaa nyuma ya key board unapika uongo mkubwa kuliko hata shetani mwenyewe...utajisikiaje??
Jaribu kufikiri kwa makini.......Itapendeza!!!
 

Mbalinga,
Well said. Kama kuna mtu amesoma chapisho la Mwananchi la leo kuhusu maoni ya Mke wa ATL Bi Magabe namna mumewe alivyo-survive baada ya risasi 16 kumwingia mwilini lakini KWA MUUJIZA WA MUNGU RISASI ZILIKUWA ZINAFIKA KWENYE MAENEO NYETI NA MUHIMU KWA UHAI AA LISU k.m. FIGO, MOYO, MISHIPA YA FAHAMU, UTI WA MGONGO n.k. LAKINI ZIKAKWEPA NA KUPIGA MISULI TU ZIKIACHA HIZO SEHEMU NYETI......!!!!HUYO SIO MWANADAMU BAALI NI MUNGU ALIYE HAI. HII NI SALAMU KWA WABAYA WAKE WOTE WALIOPANGA SHAMBULIO HILO NA HAKIKA MUNGU HUYOHUYO ALIYEZUIA RISASI ZISIPIGE SEHEMU MUHIMU ZA UHAI WA LISSU KWA WAKTI ATAWEKA HADHARANI KILA KITU NA NDIPO ITAKUWA NI AIBU, VILIO NA KUSAGA MENO..!!!HAKUNA MWANADAMU AMEWAHI KUSHINDANA NA MUNGU NA AKAISHI,......!!!NI SWALA LA MUDA TU...!
TUSUBIRI.....!!

Loading..................
 
Just another suçker! Hivi Pàscal kwa uelewa wàko wa hawa jamaa ñaomba nieleweshe.Obote alivyopinduliwa 1972 Idd Amin aliwapeleka wapi jamaà.wa Obote. na yeye IDD Amin alivyoondoka jamaa zake walistàafishwa au.walienda wapi
WAko kama kinyonga. Wanatabia ya kufuata upepo.
 
NI kweli Ndugu.
 
Hebu fuatilia jinsi hawa ,"Jamaa zetu" 'wasiojulikana', wanavyotekeleza mashambulizi mbalimbali na sometimes hadi na mauaji in a very clean job and professional way hivyo kamwe hawawezi kuja kujulikana, hivyo kubaki ni watu 'wasiojulikana', daima


Kama kutokosekana kwao katika nyumba za ibada kunalenga kujificha kwenye haya wayafanyayo, basi ninawasiwasi na utashi wao, Mungu siyo mnafiki, Mungu huyaweka yote wazi hapahapa, malipo ya hayo wayafanyayo ni machungu kuliko machungu wanayoyapata wanaotendewa na wanaojulikana
 
Hizi zote ni hadithi za kufikirika tu. Hadi leo hakuna uthibitisho wa nani hasa alihusika na tukio hilo ovu na la kishetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…