Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa Marekani, Kamala Harris, huko kwenye mji wa Phoenix ilishambuliwa kwa risasi na kusababisha uharibifu kwa majengo na madirisha huku hakuna majeruhi walioripotiwa.
Tukio hilo lilitokea usiku wa manane, siku chache kabla ya ziara ya Harris jimboni humo, na sasa linachunguzwa na polisi wa Tempe.
Soma pia: Risasi zarindima katika eneo la karibu alipokuwepo Donald Trump, Maafisa usalama wanasema yupo salama
Sean McEnerney, meneja wa kampeni ya pamoja ya Chama cha Democratic cha Arizona, aliwashukuru polisi kwa kufika haraka eneo la tukio, akisisitiza kuwa ni bahati hakuna mtu aliyekuwepo au kujeruhiwa.
Tukio hili limetokea siku chache baada ya jaribio la pili la kumuua mgombea urais wa Marekani, Donald Trump, kwenye uwanja wake wa gofu huko West Palm Beach.
=================================
Gunshots were fired at a campaign office for U.S. Presidential nominee Kamala Harris in a Phoenix suburb, causing damage but no injuries.
Damage from several bullets was found to the building and windows following reports of gunfire after midnight on Monday, local time.
The incident, which happened days before Harris' scheduled visit to the state, is being investigated by Tempe police.
Police claim this is the second shooting incident in as many weeks after the building was targeted previously.
According to the Arizona Republic, a similar incident happened at the same office on September 16 when rounds from a pellet or BB gun were also shot.
Source: Gistmania, NBC News