Hizi zote ni propaganda mkuu. We jiukize kwanini all media house zilizokuwa zinaripoti ukweli zimefungiwa.Jamani muwe mnafuatilia habari za kimataifa. au kiingereza ni mgogoro!! Mosad walichofanya ni ku intercept consignment destined to Hezbullah, halafu wakapandikiza kifaa ambacho kikiwa triggered kinaongeza joto la battery za PAGERS. Hivyo yeyete aliyekumbwa na janga hilo ni Hezbullah au kwa namna moja au nyingine ana mahusiano ya Kigaidi na Hezbullah, mfano yule Balozi wa Iran kule Lebanon
View: https://x.com/MahyarTousi/status/1836056595073032544
We endelea na propaganda za West. Kama hao mossad waneshindwa kujua walipo mateka eneo lenye ukubwa wa kigamboni eti "wali intercept consignment..." Shida ni soko la electronics device zao zilikua zinaenda kufa immediately so kufanya coverup ndio hiyo propaganda.
Kuna mambo mengi duniani hapa.