Shambulio linalosadikiwa kufanywa na Israel dhidi ya Hezbullah kwa kupitia PAGERS lathibitisha akili kubwa ya Myahudi

Shambulio linalosadikiwa kufanywa na Israel dhidi ya Hezbullah kwa kupitia PAGERS lathibitisha akili kubwa ya Myahudi

Jamani muwe mnafuatilia habari za kimataifa. au kiingereza ni mgogoro!! Mosad walichofanya ni ku intercept consignment destined to Hezbullah, halafu wakapandikiza kifaa ambacho kikiwa triggered kinaongeza joto la battery za PAGERS. Hivyo yeyete aliyekumbwa na janga hilo ni Hezbullah au kwa namna moja au nyingine ana mahusiano ya Kigaidi na Hezbullah, mfano yule Balozi wa Iran kule Lebanon

View: https://x.com/MahyarTousi/status/1836056595073032544

Hizi zote ni propaganda mkuu. We jiukize kwanini all media house zilizokuwa zinaripoti ukweli zimefungiwa.

We endelea na propaganda za West. Kama hao mossad waneshindwa kujua walipo mateka eneo lenye ukubwa wa kigamboni eti "wali intercept consignment..." Shida ni soko la electronics device zao zilikua zinaenda kufa immediately so kufanya coverup ndio hiyo propaganda.

Kuna mambo mengi duniani hapa.
 
Ukweli ni kwamba myahudi bado ana makando kando mengi sana , Hezbollah wanatoa taarifa za wanajeshi wake walikokufa ila jamaa anaficha ...Shambulio la juzi tu hapa wamekufa ila hawasemi sasa ni vita hiyo ?

Huo mlipuko wa jana mbona wanatoa update na waliokufa wanasema mbona nyie hamseni ?

Walipopiga bandari kule Lebanon jamaa wametoa update ya wanajeshi wao waliokufa ila Israel mbona anaficha ? 😀 😀 😀 😀
 
Hiyo Kampuni ya kutengeneza hizo Pager ya GoldApolo ya Taiwan iliuza kwa Kampuni nyingine under License kutumia jina lake.

Daadeki Gaidi akaumeza Mshipi😆😆😆😅😅
 
Hujui maumivu ya kudhulumiwa wewe kaa kimya pale kuna msikiti mtukufu aliswali mtume kabla ya kwenda mbinguni isitegemee tutakaa kimya kwanini wanataka kuuvunja? Kama sio ushenzi na ukafiri wao wayahudi watu wabaya sana kuliko race yoyote duniani na kila anayetetea ni muovu kama wao
Nani kawadhulumu acha ujinga bana Iran siagawe taifa lake awape Palestine kama anawapenda hakuna Taifa la Palestine time will tell Netanyahu amesha amua kama mbwai na iwe mbwai bado kichwa wamalize kazi huko Iran stay tune...
 
Tupo hata tuone kama atawamaliza.
 
Ukweli ni kwamba myahudi bado ana makando kando mengi sana , Hezbollah wanatoa taarifa za wanajeshi wake walikokufa ila jamaa anaficha ...Shambulio la juzi tu hapa wamekufa ila hawasemi sasa ni vita hiyo ?

Huo mlipuko wa jana mbona wanatoa update na waliokufa wanasema mbona nyie hamseni ?

Walipopiga bandari kule Lebanon jamaa wametoa update ya wanajeshi wao waliokufa ila Israel mbona anaficha ? 😀 😀 😀 😀
\Accumen, hebu usijidhalilishe Mkuu, Israel inaficha askari wake wanaokufa! Au source yako ya habari ni finyu kiasi hicho......Nakusaidia....

\Accumen, hebu usijidhalilishe Mkuu, Israel inaficha askari wake wanaokufa! Au source yako ya habari ni finyu kiasi hicho......Nakusaidia....

Soma magazeti ya Israel.....kila askari anapofariki na maziko yao yako kwenye TV.......Nikuulize Hamas mpaka sasa wanasema askari waowangapi wameuawa...Kila siku ni Wanawake na watoto...wanawake na watoto....! Gaza ni siri kabisa hata kwa familia kusema Mwana hamas kafariki....

Fungua wigo wako wa kupata habari........
 
\Accumen, hebu usijidhalilishe Mkuu, Israel inaficha askari wake wanaokufa! Au source yako ya habari ni finyu kiasi hicho......Nakusaidia....

Hawa Islamists wala siwashangai. Kwanza wamefunzwa Tawnya yaani kufanya ya kwa gharama yeyote ile kutetea uislam. Mbili ajili yao ni mdogo kama ya Shetani Allah aliyeandika Krk Quran 2:29 kuwa alianza kuumba Dunia halafu ndiyo akaemdelea kuumba mbingu
 
Yaani simu inalipuka yenyewe tu!

Iko siku Sasa tutaona vichwa vinapasuka pasuka tu. Hawa wazungu sio watu wazuri Aisee!!
 
Akili gani wewe wanazo huo ndio ugaidi wenyewe unachomeka vibomu ndani ya pager kwa kuwatumia wafanyakazi wa hilo shirika si unaliharibia biashara. Hio sio akili ni ujinga wa hali ya juu. Mfano mimi leo na maduka ni deal na staff wa kiwanda cha soda niwatilie sumu watu nao taka kuwauwa kwenye soda. Afu ni jisifie na akili, sifikiri watakao kosa kazi hapo.

Hio ndio akili yake ya mwisho, kashindwa vita na Hezbullah, kaona akifanya vile atawatisha Hezbullah. Sa ngojea kichapo atakacho pokea
Hizo Ndio akili sasa... Kujua njia na mipango ya Adui wako
 
Wewe sikiliza muislamu mwenzio huyu akifichua uongo usio na aibu juu ya madai yenu hapo ya ati msikiti wa Jerusalem aliswali mtume kabla ya kupaa mbinguni.
Mtume kafa 632 AD wakati msikiti ulijengwa 684AD sasa aliswalia kichakani?
View attachment 3099156
hawaja intercept, kule kule ndani wanakotengeneza kulikuwa na maajenti wa mosad. na kampuni iliyotengeneza leseni ni ya Taiwan ila watengenezaji inasemekana ni wa ulaya. kwahiyo hapo kobaz aliagiza mzigo huo toka kwa myahudi moja kwa moja bila kujua. elimu kitu muhimu sana, imagine mwarabu angekuwana tech, tungeishi hapa duniani? Mungu kawapa mafuta, akawanyima akili. hapo tunaelewana sasa.
Kabisa!....hili ni Kweli kabisa!
 
Hujui maumivu ya kudhulumiwa wewe kaa kimya pale kuna msikiti mtukufu aliswali mtume kabla ya kwenda mbinguni isitegemee tutakaa kimya kwanini wanataka kuuvunja? Kama sio ushenzi na ukafiri wao wayahudi watu wabaya sana kuliko race yoyote duniani na kila anayetetea ni muovu kama wao
Acha stori za kuhadithiwa....ulikuwepo kipndi mudi anasali kwa huo msikiti?
 
Back
Top Bottom