Shambulio linalosadikiwa kufanywa na Israel dhidi ya Hezbullah kwa kupitia PAGERS lathibitisha akili kubwa ya Myahudi

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,598
Reaction score
1,294
Hassan Nasrallah alipitisha azimio kuwa mawasiliano yote ya washiriki wa kikundi hicho na pia baina yao na washirika wao yasiwe kwa simu za kawaida kwa kwani Israel watayadaka. Pagers zinaaminika kwa kutoweza kuwa hacked.

Inavyoelekea Israel kwa kuona mbali, wakajipenyeza kwa watengenezaji wa hizo pagers kiasi kwa kukawa na batch fulani tu ambapo walipandikiza kifaa ambacho kwa kupokea signal fulani ya kipekee kitapandisha joto la batteries za pagers hizo na kulipuka.

Aidha, Israel wakafanikiwa kuhack pagers hizo na kustudy messages walizokuwa wakitumiana. Leo hii ndipo Israel wakatuma message ambayo Hezbullah hawakuihisi kuwa siyo yao wao Hezbullah. Ndiyo maana wengine kifaa hicho kiliwalipukia usoni wengine mkononi. Kuna ambao kutokana na eneo walilokuwepo walishindwa kukitoa kifaa hicho eneo la kiunoni au mfukoni mapema hivyo kiliwalipukia kikiwa kiunoni.

Vile vile kama kweli ni Israel waliofanya shambulio hili, ni uthibitisho mwingine kuwa ktk vita hivi waisrael tofauti na waislam wao wanajitahidi sana kutumia technolojia ili mashambulizi yao yalenge magaidi wa kiislam tu bila ya kudhuru raia wasio na hatia.

Hapa cha kujifunza kwa wale waislamu wanaomtafuta Mungu wa kweli ni kuwa

1. Mungu anataka kuwathibitishia kitabu chao kinachowachochea kuwa na chuki dhidi ya Israel hakiko sahihi

2. Kwamba wajifunze kuishi pamoja na Waisraeli, ambao wao tayari wameisha kubali hilo ndani ya Israel yenyewe ambako wako Waislamu wapatao 2 000,000

3. Inawezekana kabisa Mungu wa kweli ameruhusu surprises zote hizi ambazo Israel wamefanya ktk vita hivi:
• kuwapiga Gaza ndani ya nchi yao licha ya upinzani serikali ya Israeli inaopata toka nchi za waarabu serikali za Joe Biden, Ser3ya Keir Stamer (UK) UN, URUSI, CHINA

• Israel wamefichua Siri kubwa ambayo Dunia haikuwa inajua juu ya Mahandaki ya Hamas yanayokwenda hadi Misri ili kupitisha Silaha
• Vifo vya kushangaza vya Rais wa Iran na Waziri wake wa Mambo ya Nje
• Kuuawa kwa Kiongozi wa juu kabisa wa Hamas ndani ya Iran
• Kulipuriwa kwa Kiwanda cha Iran cha kutengenezea makombora ndani ya Syria
● Na leo hii hili shambulio la kipekee kabisa la kivita

Ni wakati sasa kwa Waislamu kusitukia huo msimamo wenu potofu, kabla haijawa too late. And my feelings ni kwamba licha ya shida zote hizi Israel inazopitia, wataivunja ngome ya Hamas, Hezbullah na kule Iran tutegemee sura tofauti ya Utawala tofauti na Utawala wa Kiayatollah.

View: https://x.com/LizaRosen0000/status/1836046514302398781
 
Hujui maumivu ya kudhulumiwa wewe kaa kimya pale kuna msikiti mtukufu aliswali mtume kabla ya kwenda mbinguni isitegemee tutakaa kimya kwanini wanataka kuuvunja? Kama sio ushenzi na ukafiri wao wayahudi watu wabaya sana kuliko race yoyote duniani na kila anayetetea ni muovu kama wao
Wewe sikiliza muislamu mwenzio huyu akifichua uongo usio na aibu juu ya madai yenu hapo ya ati msikiti wa Jerusalem aliswali mtume kabla ya kupaa mbinguni.
Mtume kafa 632 AD wakati msikiti ulijengwa 684AD sasa aliswalia kichakani?
 
Akili gani wewe wanazo huo ndio ugaidi wenyewe unachomeka vibomu ndani ya pager kwa kuwatumia wafanyakazi wa hilo shirika si unaliharibia biashara. Hio sio akili ni ujinga wa hali ya juu. Mfano mimi leo na maduka ni deal na staff wa kiwanda cha soda niwatilie sumu watu nao taka kuwauwa kwenye soda. Afu ni jisifie na akili, sifikiri watakao kosa kazi hapo.

Hio ndio akili yake ya mwisho, kashindwa vita na Hezbullah, kaona akifanya vile atawatisha Hezbullah. Sa ngojea kichapo atakacho pokea
 
Hao watu ni mabingwa wa uuaji, waliua manabii wengi kwa hila kubwa
Ndo maana Yesu akasema "baba yenu ibilisi ni muuaji na muongo toka kale"
Kama wewe ni mkristo nikwambie kuwa vita hii waislamu wanafundishwa na kitabu chao kuwa ni vita ya Allah dhidi ya Wayahudi kuwaondoa ktk nchi Quds (Jerusalem) ambako wao wanadai ni mji wao mtakatifu wa pili, na baadae waendeleze vita hiyo kwa Wakristo ili sasa uislamu utawale Dunia. Labda uliisha sikia kuwa wanaanza kwanza na Saturday na baadae wawamalizie Sunday
 
Hujui maumivu ya kudhulumiwa wewe kaa kimya pale kuna msikiti mtukufu aliswali mtume kabla ya kwenda mbinguni isitegemee tutakaa kimya kwanini wanataka kuuvunja? Kama sio ushenzi na ukafiri wao wayahudi watu wabaya sana kuliko race yoyote duniani na kila anayetetea ni muovu kama wao
Huwa najua kafir ni anayeabudu asiye Mungu, kumbe Mungu wa wayahudi ni yupi kama siyo Mungu wa Ibrahim unaemuabudu wewe?
 
Hujui maumivu ya kudhulumiwa wewe kaa kimya pale kuna msikiti mtukufu aliswali mtume kabla ya kwenda mbinguni isitegemee tutakaa kimya kwanini wanataka kuuvunja? Kama sio ushenzi na ukafiri wao wayahudi watu wabaya sana kuliko race yoyote duniani na kila anayetetea ni muovu kama wao
Kwani si alizaliwa macca na kuzikwa huko huko .....au?? Kumbe na yeye kama masihi yesu wa nazareth kwamba alikufa na kufufuka pia??? Au uislam sasa hivi ni kama ukristo tu kwamba tuna share kwa Bluetooth.......lakin mnatuita makafir
 
Sasa Hitler alivyowaua milioni sita ilikuwaje?
Aliwaua zaidi ya mil 6 kwa sababu hawakuwa na taifa lenye nguvu na ulinzi imara kama sasa hivi. Walikua wametapakaa ulaya nzima.
Na ndio maana sasa hivi wako makini sana yasije yakajirudia kama ya mwaka 1940
 
Hassan Nasrallah alipitisha azimio kuwa mawasiliano yote ya washiriki wa kikundi hicho na pia baina yao na washirika wao yasiwe kwa simu za kawaida kwa kwani Israel watayadaka. Pagers zinaaminika kwa kutoweza kuwa hacked.
Inavyoelekea Israel kwa kuona mbali, wakajipenyeza kwa watengenezaji wa hizo pagers kiasi kwa kukawa na batch fulani tu ambapo walipandikiza kifaa ambacho kwa kupokea signal fulani ya kipekee kitapandisha joto la batteries za pagers hizo na kulipuka.
Aidha, Israel wakafanikiwa kuhack pagers hizo na kustudy messages walizokuwa wakitumiana. Leo hii ndipo Israel wakatuma message ambayo Hezbullah hawakuihisi kuwa siyo yao wao Hezbullah. Ndiyo maana wengine kifaa hicho kiliwalipukia usoni wengine mkononi. Kuna ambao kutokana na eneo walilokuwepo walishindwa kukitoa kifaa hicho eneo la kiunoni au mfukoni mapema hivyo kiliwalipukia kikiwa kiunoni.
Vile vile kama kweli ni Israel waliofanya shambulio hili, ni uthibitisho mwingine kuwa ktk vita hivi waisrael tofauti na waislam wao wanajitahidi sana kutumia technolojia ili mashambulizi yao yalenge magaidi wa kiislam tu bila ya kudhuru raia wasio na hatia.
Hapa cha kujifunza kwa wale waislamu wanaomtafuta Mungu wa kweli ni kuwa
1. Mungu anataka kuwathibitishia kitabu chao kinachowachochea kuwa na chuki dhidi ya Israel hakiko sahihi
2.Kwamba wajifunze kuishi pamoja na Waisraeli, ambao wao tayari wameisha kubali hilo ndani ya Israel yenyewe ambako wako Waislamu wapatao 2 000,000
3. Inawezekana kabisa Mungu wa kweli ameruhusu surprises zote hizi ambazo Israel wamefanya ktk vita hivi:
• kuwapiga Gaza ndani ya nchi yao licha ya upinzani serikali ya Israeli inaopata toka nchi za waarabu serikali za Joe Biden, Ser3ya Keir Stamer (UK) UN, URUSI, CHINA
• Israel wamefichua Siri kubwa ambayo Dunia haikuwa inajua juu ya Mahandaki ya Hamas yanayokwenda hadi Misri ili kupitisha Silaha
• Vifo vya kushangaza vya Rais wa Iran na Waziri wake wa Mambo ya Nje
• Kuuawa kwa Kiongozi wa juu kabisa wa Hamas ndani ya Iran
• Kulipuriwa kwa Kiwanda cha Iran cha kutengenezea makombora ndani ya Syria
● Na leo hii hili shambulio la kipekee kabisa la kivita
Ni wakati sasa kwa Waislamu kusitukia huo msimamo wenu potofu, kabla haijawa too late. And my feelings ni kwamba licha ya shida zote hizi Israel inazopitia, wataivunja ngome ya Hamas, Hezbullah na kule Iran tutegemee sura tofauti ya Utawala tofauti na Utawala wa Kiayatollah

View: https://x.com/LizaRosen0000/status/1836046514302398781

Mkuu ule ni ugaidi kwa sababu umedhuru watu wengi pasipo kuchagua. Ni kama kupiga boom kariakoo kwa sababu Kuna gaidi mmoja kajificha huko.

Unashitakiwa kwenye mahakama za kimataifa.

Mfano Sasa hivi marekani ajue Kuna gaidi anatumia Iphone Tanzania aamue kulipia iphone zote kisa amuue Huyo mmoja.

Hii pia inakuambia simu sio salama
 
Jamani muwe mnafuatilia habari za kimataifa. au kiingereza ni mgogoro!! Mosad walichofanya ni ku intercept consignment destined to Hezbullah, halafu wakapandikiza kifaa ambacho kikiwa triggered kinaongeza joto la battery za PAGERS. Hivyo yeyete aliyekumbwa na janga hilo ni Hezbullah au kwa namna moja au nyingine ana mahusiano ya Kigaidi na Hezbullah, mfano yule Balozi wa Iran kule Lebanon

View: https://x.com/MahyarTousi/status/1836056595073032544
 
Aliwaua zaidi ya mil 6 kwa sababu hawakuwa na taifa lenye nguvu na ulinzi imara kama sasa hivi. Walikua wametapakaa ulaya nzima.
Na ndio maana sasa hivi wako makini sana yasije yakajirudia kama ya mwaka 1940
Umesema kweli kabisa; kuna mchambuzi mmoja wa masuala ya kimataifa amesema "the State of Israel is a life Insurance to the Jews". Na mm I have feelings kuwa these islamists hii vita kama zilivyokuwa vita za huko nyuma walizozianzisha hawa islamists na waka team up against Israel bado wakapigwa hii nayo watapigwa na mwisho wa siku Hamas haitakuwepo tena, Hezbullah haitakuwepo na kule Iran, utawala utakaokuwepo siyo huu wa Kiayatollah.

View: https://x.com/HilzFuld/status/1835352467149631549
 
Hujui maumivu ya kudhulumiwa wewe kaa kimya pale kuna msikiti mtukufu aliswali mtume kabla ya kwenda mbinguni isitegemee tutakaa kimya kwanini wanataka kuuvunja? Kama sio ushenzi na ukafiri wao wayahudi watu wabaya sana kuliko race yoyote duniani na kila anayetetea ni muovu kama wao
Wauvunje, tena unaleta majini eneo lile
 
Jamani muwe mnafuatilia habari za kimataifa. au kiingereza ni mgogoro!! Mosad walichofanya ni ku intercept consignment destined to Hezbullah, halafu wakapandikiza kifaa ambacho kikiwa triggered kinaongeza joto la battery za PAGERS. Hivyo yeyete aliyekumbwa na janga hilo ni Hezbullah au kwa namna moja au nyingine ana mahusiano ya Kigaidi na Hezbullah, mfano yule Balozi wa Iran kule Lebanon

View: https://x.com/MahyarTousi/status/1836056595073032544

hawaja intercept, kule kule ndani wanakotengeneza kulikuwa na maajenti wa mosad. na kampuni iliyotengeneza leseni ni ya Taiwan ila watengenezaji inasemekana ni wa ulaya. kwahiyo hapo kobaz aliagiza mzigo huo toka kwa myahudi moja kwa moja bila kujua. elimu kitu muhimu sana, imagine mwarabu angekuwana tech, tungeishi hapa duniani? Mungu kawapa mafuta, akawanyima akili. hapo tunaelewana sasa.
 
Back
Top Bottom