Hili tukio la shambulizi la Mall huko Sydney Australia na kuuwa zaidi ya watu sita, siku linatokea tu wakaanza kutukana waislamu magaidi warudishwe toka nchi za West, hata picha ilipotoka wakaanza huyu rangi ya watu Middle East muhimu kulikuwa na matusi mpaka kwa main stream media shambulio la kigaidi kwenye mitandao ndio usiseme matusi.
Sasa baada ya kutambulika huyo jamaa aliyekuwa anachoma watu visu ni mzungu na wala sio muislamu basi tone yote imebadilika hata kwenye main stream media imekuwa sio habari tena imetolewa huko social media kimyaa ukisoma kwenye site zao unasikia wanasema hatujui shida ni nini lakini sio ugaidi wala chuki kwa hiyo wameshahitimisha sio ugaidi wala chuki ila wakati linatokea tu UGAIDI.
Kweli unafiki wa kiwango cha juu. Ingelikuwa huyu alikuwa muislamu basi media zingechafuka. Bahati nzuri ni mtu wao. Watakuja kusema alikuwa mgonjwa wa akili tu.