Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema kwamba shambulizi la Urusi limeua zaidi ya watu 40, na kujeruhi wengine 180, katikamji wa Poltava wa Ukraine.
Rais Zelensky, ambaye anasema ripoti ya awali inaonyeshakuwa mji huo wa mashariki ulishambuliwa na makombora mawili ya ballistic yaUrusi.
Watu wengine wanaburutwa kutoka chini ya vifusi nakuokolewa. Anasema makombora hayo yalishambulia "eneo lataasisi ya elimu na hospitali iliyo karibu". Moja ya majengo ya Taasisi ya Mawasiliano yaliharibiwakwa kiasi, anasema.