Shame on some Tanzanians in this Forum celebrating the Terror Attack

Shame on some Tanzanians in this Forum celebrating the Terror Attack

My friend, i hope you know USA financed and Armed OSAMA BIN LADEN.... If you know and understand about it, then i believe there is a chance you can understand how these "TERROR" organization are started and for what purpose.
How is this different from you cheating on your wife?
 
some guys hapa are very happy.
Sifurahii hata Kidogo mtu kushangilia madhila ya mwenzie hasa madhila hayo yakatokea katika aina ya shambulio lilotokea jana huko Kenya. Nasema kama wapo walioshangilia ni wapuuzi na wanapaswa kupuuzwa kwa Upuuzi wao.
====
Hata hivyo nimeshangazwa na shutuma za mleta mada kuwa hao jamaa ni watanzania. Kwa haraka haraka Nimepita account zao hakuna hata mmoja ambaye ni ana verified ID ya JF.
1. Sasa mleta mada amejuaje kuwa ni watanzania?!

2. Je. hao jamaa hawawezi kuwa ni maadui wa nchi zetu mbili yaani Kenya na Tanzania wanafanya hivyo ili kusababisha nchi hizi mbili zilizo kwenye EAC ziingie kwenye mgogoro hatarishi ili kuvuruga utengamano wetu kwa pande zote ?!

Ningemuelewa muelewa mleta mada kama angetumia hoja iliyomo kwenye swali namba mbili hapo juu kuhitaji ushirikiano wa watanzania kuwa shughulikia hao jamaa (kama kweli ana ushahidi kuwa ni watanzania), kuwashugulikia ili wasiendelee kutoa hoja ama kauli za kichochezi kwenye jamii ya EAC... Na ama kuwaunganisha kwenye kesi ya shambulio la jana kama walikuwa wanahusika kuleta madhila yaliyo elezwa kwenye swali la pili. Hii ingetoa fundisho kwa wale wote wanaotoa kauli humu irresponsibly !!!

Maelezo hayo Hapo juu hayampi kinga mleta mada kutochunguzwa kwa yeye naye kuhusika kichochezi kuvuruga amani baina ya Tanzania na Kenya kama atashindwa kudhibitisha madai yake!
 
This are the guys happy and always wishing kenya is attacked,according to how they are texting it clearly shows they are pleased with what happened yesterday in 14 Riverside:
Ichoboy kadoda11 MOTOCHINI REDEEMER. joto la jiwe Geza Ulole

SHAME ON YOU a$$holes!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
How can you be happy to see people being killed? anyway the terrorists have been killed and over 700 people saved from the attack,it was unfortunate we lost 14 people let them R.I.P. I see a foolish NIGGAR Ichoboy insisting that 48 people died.dude did u kill them? shetani ashindwe.

About 300 Tanzanians died in the Ferry accident and no Kenyan celebrated such infact Uhuru donated some cash and staff..Washenzi mashetani mushindwe kabsa.
I'm a Tanzanian but I'm sorry to say that most of us are stupid and lazy. They associate everything with politcs. When ferry was capsized UK was humble and contributed something to the victims. Much respect to kenyans and UK.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uganda walikuwa na amani hata kabla hawajaingia Somalia. Acha kuwa na fikra finyu.
Kumbuka Uganda Walishambuliwa na Alshabab katika ukumbi wa disco watu 27 wakafariki ,kilichofuata wakaondoa jeshi lao hadi leo amani. Kwani jeshi lakenya limefuata nini Somalia? Kenya wapo vitani na Alshabab waache kulilia.
 
Those who were celebrated are very less compared to the one who sim phased for what happened. Be assured, most of us we are with Kenyas and we say sorry together and wish whom are injured to get well soon. For the deceased we say RIP.
 
Some Danganyikans are ashamed of the same lame ducks who are celebrating.............Shame to such headless terrorists
 
Kama kuna Mtanzania yeyote aliyefurahia shambulizi la jana pale Nairobi basi huyo atakuwa ni kichaa. Binadamu mwenye kujitambua hata siku moja hawezi kufurahia maafa ya binadamu wenzake.
mkuu kuna washezi wamefurahia sana kwenye maandishi yao........

kuna mda hata kuandika nikawa nashindwa, nashangaa jinsi binadamu tulivyogeuka wanyama zaidi ya chui!
 
Only a nincompoop of the highest order would rejoice on this attack. Kama kuna mtanzania amefurahia hili shambulio la kinyama, si uraia wake tu inabidi ukaguliwe bali hata ubongo wake unahitaji kupimwa tujue kama ni mzima kweli ama alishakatwa kichwa cha binadamu akawekewa cha fisi hivyo anatumia ubongo wa fisi kufikiri
 
Jifunze kuwa na utu wewe dogo! Watu wapo kwenye matatizo wewe unakenua kama baamed
Hebu angalia post zangu hizi
wapi nimefurahia ugaidi huo.
Tell me where do I've celebrated the attack? sView attachment 996395
Screenshot_20190116-192044.jpeg
View attachment 996396
Screenshot_20190116-192110.jpeg
Screenshot_20190116-192057.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This are the guys happy and always wishing kenya is attacked,according to how they are texting it clearly shows they are pleased with what happened yesterday in 14 Riverside:
Ichoboy kadoda11 MOTOCHINI REDEEMER. joto la jiwe Geza Ulole

SHAME ON YOU a$$holes!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
How can you be happy to see people being killed? anyway the terrorists have been killed and over 700 people saved from the attack,it was unfortunate we lost 14 people let them R.I.P. I see a foolish NIGGAR Ichoboy insisting that 48 people died.dude did u kill them? shetani ashindwe.

About 300 Tanzanians died in the Ferry accident and no Kenyan celebrated such infact Uhuru donated some cash and staff..Washenzi mashetani mushindwe kabsa.

unatafuta mwingine wa kumlaumu. mTanzania gani anayefurahia balaa lililotokea Kenya?
 
Hamna mtu anashangalia ila unapokuwa unajitamba una best security in the region kuwa tayari security hiyo kukosolewa unapopata majanga! May the 14 lost souls RIP!
ufaransa haya majanga yapo sana, nao hawana intelijensia ya kutosha???........

geza kuna kitu nadhan huelewi, ila jua kwamba ukipakana na nchi dizaini ya somalia lazima wakusumbue tu........

thats the reason behind kwann tan(ganyika)zania haitakuja kuiacha zanzibar ikawa nchi huru......

hawa ndugu zetu wakishaanza kywa rogue huwezi kuwadhibiti, maana mnaishi nao kwenye jamii
 
Don't try to manipulate Tanzanians by associating with what happened to you Kenyans,

I've noticed that you always try to relief your bitterness by associating Tanzanians, this trend should be stoped, you're a neighbouring country with your own security systems, anything you face is yours not of Tanzanians!

There is no any rightminded human can rejoice killings, perhaps you misinterprete the situation!.

God take the fallen 14 souls where they deserve!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapumbavu sana hao Mkuu wanasahau kwamba maafa hayana mmoja. Mie pia nakumbuka humu kwenye lile shambulio jingine ndani ya mall miaka michache iliyopita kuna wapumbavu humu walishangilia na mimi nikawakoromea.

Inashangaza sana Mkuu baadhi ya binadamu katika dunia yetu ya leo na tabia zao za ajabu ambazo hata wanyama hawana.

mkuu kuna washezi wamefurahia sana kwenye maandishi yao........

kuna mda hata kuandika nikawa nashindwa, nashangaa jinsi binadamu tulivyogeuka wanyama zaidi ya chui!
 
ufaransa haya majanga yapo sana, nao hawana intelijensia ya kutosha???........

geza kuna kitu nadhan huelewi, ila jua kwamba ukipakana na nchi dizaini ya somalia lazima wakusumbue tu........

thats the reason behind kwann tan(ganyika)zania haitakuja kuiacha zanzibar ikawa nchi huru......

hawa ndugu zetu wakishaanza kywa rogue huwezi kuwadhibiti, maana mnaishi nao kwenye jamii
Mna majigambo ya kijinga! may the lives lost RIP!
 
Mna majigambo ya kijinga! may the lives lost RIP!
"mna".......

mimi sio mkenya mkuu,,,, mimi ni mtanzania, hata hio nairobi naiona kwa tv tu.........

huwa sipendi mtu anapofurahia majanga ya wengine whether wana majigambo au hawana!..........

chukulia kama wangefurahia ile ajali ya kivuko kule victoria, ungejisikiaje???.........

haya mambo haifai kuchekana au kufurahia madhira ya wenzetu, wao mwiba wao ni al shabaab, tanzania mwiba wetu ni ajali za majini na nchi kavu!!!......

jiulize, ndege yetu moja ikianguka ikaua watu mamia wanatakiwa kufurahi kisa sie tunajisifu kwa kununua ndege mpya?? hapana haitakiwi kuwa hivyo mkuu......

after all, sisi wote ni weusi, hii mipaka waliweka wakoloni!!!
 
Back
Top Bottom