Shame on you Mhariri wa JAMVI LA HABARI

Shame on you Mhariri wa JAMVI LA HABARI

Mkyamise

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
482
Reaction score
614
Where is your professionalism? Shame on you!
 

Attachments

  • Screenshot_20241030_061819_Instagram.jpg
    Screenshot_20241030_061819_Instagram.jpg
    156.8 KB · Views: 3
Ziwa ni kiswahili.
Nyanza ni kisukuma ambapo kwa kiswahili ni Ziwa.
Kwa hiyo ukisema "Ziwa Nyanza" itakuwa ni "Ziwa Ziwa".

Ni kama kusema;
Matofali ya block
Matatizo ya problem
Asante.
 
Ziwa ni kiswahili.
Nyanza ni kisukuma ambapo kwa kiswahili ni Ziwa.
Kwa hiyo ukisema "Ziwa Nyanza" itakuwa ni "Ziwa Ziwa".

Ni kama kusema;
Matofali ya block
Matatizo ya problem
Matatizo ya problem
 
Kwa hiyo unataka kusema majina kama John na Peter tukiyaandika kwenye kiswahili tuandike Joni au Pita.
Hilo halihusiani na majina binafsi ya watu.

Ngoja nikupe mfano mzuri, Africa hutumika kwenye lugha ngeni, Afrika kwa Kiswahili.
Natumai umepata mwanga.
 
Haya mambo, mbona aliyetuletea habari kachanganya makande na wali mlemle kwenye kichwa cha habari kama anaelaumiwa?
 
Back
Top Bottom