Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Hahaaaahaaa!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]jamani kaah
Na anawapata machizi wenzake wengi tu, kuna wakati alianza kuwafundisha jinsi ya kupata mume CLAAs au MZUNGU , akawaambia acheni kutengeneza TRIANGLE yaani NYUMBANI, KAZINI KANISANI/MSIKITINI NYUMBANI, mkitoka kazini nendeni hotel kubwa agiza hata maji utapata watu class, hameni manzese hamieni masaki hata kwenye banda la uani utakutana na watu claa...basi kuna mmoja akaja kulalamika eti NILIFANYA HIVYO NIKAPATA MZUNGU AMENI..MBA SIKU MOJA TU , akaninyima namba yake nilikosea wapi? Akajibiwa we alikuona MALAYA kwa nini ulimpa MBUNYE siku ya kwanza? Hahhaaaaaaaaaaaa! huyu ndio Mange na ELIMU YAKE, shami na VIBUBU vyake..kila chizi na machizi wake jamani.