Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Uzi nimeusoma mwanzo mwisho. Nimegundua mimi ni wa msituni hata kijijini pana nafuu, yani kuna watu wanajua usajiri wa raia wote na mishe zao hapa mjini lakini mimi sijui kitu
Tuko wengi
 
hivi mtama mchungu naye amekamatwa???
 
Reactions: amu
abdul ashatoka??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa ni ngumu kuipata lakini muda mwingine kujilipua sio mbaya shida ni mazingira polesana shamim aka zeze
Huyu shamim alimpiga chini jamaa yake mme wa ndoa hadi kutaka talaka kisa kumfata mwanaume hyo mwnye Hela, Leo hii alichokitafuta amekipata
Akitoka huko Atakuwa kajifunza kitu

Ova
 
Huyu shamim alimpiga chini jamaa yake mme wa ndoa hadi kutaka talaka kisa kumfata mwanaume hyo mwnye Hela, Leo hii alichokitafuta amekipata
Akitoka huko Atakuwa kajifunza kitu

Ova

Yule kaka alitofautiana sana na Shamim, kaka alikua cool mno Shamim anapenda wakaka walio kwenye spot light.
 
Huyu shamim alimpiga chini jamaa yake mme wa ndoa hadi kutaka talaka kisa kumfata mwanaume hyo mwnye Hela, Leo hii alichokitafuta amekipata
Akitoka huko Atakuwa kajifunza kitu

Ova
Mshkaji sio pesa alkua hana bali alkua nazo kiasi pia shamim naeza sema ndio almfanya Jamaa asipasue mbuga sana za pesa ila shamim angekumbuka fadhila kuanzia kutunzwa na jamaa kupelekwa chuo hata ile ofisi yake pale sinza enzi zile ila ndo hvyo namuonea Iman Sana mwanae wa kwanza japo naamini yupo mikono salama sana tena sana ila ndo hvyo
 
Huyu shamim alimpiga chini jamaa yake mme wa ndoa hadi kutaka talaka kisa kumfata mwanaume hyo mwnye Hela, Leo hii alichokitafuta amekipata
Akitoka huko Atakuwa kajifunza kitu

Ova

Jana nimekumbuka nikasema nitakuuliza hukumu yao imeendaje best?
 
Yule kaka alitofautiana sana na Shamim, kaka alikua cool mno Shamim anapenda wakaka walio kwenye spot light.

Dada ndoa zina mengi. Baada ya kuwa na familia..nimejifunza mengi sana kwenye hii taasisi adhimu. So huwezi jua Shamim na huyo mme wake "cool" nani alikuwa ameishikilia hiyo ndoa 🙂

Anyway kwa upande mwingine uko sahihi. Ndoa nyingi mjini zinaparaganyika kwa sababu ya uwezo na vipato. Ndo ukweli mchungu.
 
Tena watu cool Wana mambo mengi,unakuta jamaa ni cool+ HB+ pesa kidogo ipo,unyamaa sana
 
Hivi ukiwa na simu tano, kadi za benki na paspoti ni kosa la kukamatwa!
 
Huyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.

Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.
Watu mnafuatilia maisha ya watu. Binafsi hata jirani sijui maisha yake yakoje, wameachana ameoa au anachepuka sina habari. Nilishawahi kumwita mke wa mtu kwa jina la mumewe wa zamani kumbe walishaachana kitambo na ameolewa na huyu aliyenaye. Ikawa so.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…