Usilolijua ni usiku mnene
Kwa drug dealer kukamatwa ni sehemu tu ya kazi hakuna kilichoharibika hapo yani no stress
Hao jamaa hawawezi kudumu kizuizini hata miezi mitatu
Na kinachowacost ni hicho kiumaarufu tu
Hyo ilikuwa zamani....sahv ukiwa chata ukiisha unakaa ndani hata miaka 10
Kuna mshikaji mmja smbdy mapunda mtoto wa upanga alisoma tambaza
Alikamatwa port na kg 2 kameza tangia aishe yuko jela miaka Karibia 10 na bdo kuhukumiwa
Kuna wauzaji kama wakina h.halil tangu akamatwe yuko ndani miaka miwili
List ni ndefu kuitaja
Ukifanyia biashara ya Unga mwisho wake siku zote ni mmbaya,utafungwa,utauliwa,utakufa,utaingia kwenye Uteja
Hakuna muuza madawa aliyedumu milele
Kwenye game Ona wakina Escobar,elchapo,yule boss wa Los zetas licha ya kutengeneza fedha nyingi lkn wameingia
Pabaya
Ona bongo wakina shkuba,wakina kiboko etc
Ndy washapotea.....system ikikuchoka inauangamiza
Kikubwa ni kuachana nayo biashara hii
Kuna muuzaji mmoja ila aliachana na mmbo hya yeye alikua mitaa ya sinza anaitwa Y
yeye alijikita kwenye biashara ya transportation na alinunua ma crusher ya kusaga kokoto muda mwingi yuko lugoba
Hii biashara ukijifanya unaifanya utafikiria imesajiliwa mwisho utapotea mwenyewe
Ova