mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]yaaaa mkuu huku kuna muuza viatu vya mtumba lakin nae anatembelea brevis haraf kwa mbele yake kulikuwa na punda mmoja mnyakyusa jina uswe.... kazi yake ilikuwa anakula ma juma lokole wote wa kinondoni kuna siku tumemuotea analipalamia li mchicha mwiba kwenye ukuta wa msanii alieimba "Sioi leo sioi kesho wala mtondogoo molali niliyonayo sasa siwez kubali kuibiwa "
Ingawa huyo msanii aliishi mitaa ile ila alikuwa ni mtu anaejitambua sana ndo mana mpaka leo ana pesa yake halali anasukuma discover yake fresh na asaiv shabiki mkubwa wa mpira na alikuwa na adabu akipita maskani lazma ashushe kioo cha Mark X yake asalimie wana aendelee na safari zake....Mungu amuongeze
Ova