Mungo Park
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 2,115
- 1,834
Kwa Sheria yenyewe ya DCE Act No. 5 ya 2015 haikukaa vizuri.. Imekaa kihisia hisia..
Unaweza kutajwa tu kwenye mtandao wa madawa na kuunganishwa..
Zaidi ya gramu 200 zinatosha kukukosha dhamana..
Hivyo mtu akikuwekea madawa inatosha kunyanganywa uhuru na kuzuiliwa kwa muda mrefu sana..
Ni ngumu kuamini kuwa watuhumiwa walikuwa wazembe kiasi hicho.. wakati kwa hali ya kawaida walijua walikuwa katika uchunguzi ('surveillance') kwa kitambo baada ya kutajwa sana mitandaoni..