Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Huyu najiulizaga mafanikio yake kayapataje pataje haraka haraka sipati jibu
Dogo anamiliki coaster na bajaji kama zote hapa town! Zimekula muhuri wa 26#.
Unajiuliza mentor wake wa Da Skendo (konki_masta /Dudubaya/Mamba) anakwama wapi?
 
Na anawapata machizi wenzake wengi tu, kuna wakati alianza kuwafundisha jinsi ya kupata mume CLAAs au MZUNGU , akawaambia acheni kutengeneza TRIANGLE yaani NYUMBANI, KAZINI KANISANI/MSIKITINI NYUMBANI, mkitoka kazini nendeni hotel kubwa agiza hata maji utapata watu class, hameni manzese hamieni masaki hata kwenye banda la uani utakutana na watu claa...basi kuna mmoja akaja kulalamika eti NILIFANYA HIVYO NIKAPATA MZUNGU AMENI..MBA SIKU MOJA TU , akaninyima namba yake nilikosea wapi? Akajibiwa we alikuona MALAYA kwa nini ulimpa MBUNYE siku ya kwanza? Hahhaaaaaaaaaaaa! huyu ndio Mange na ELIMU YAKE, shami na VIBUBU vyake..kila chizi na machizi wake jamani.
Hahahahahsh nimeishia kucheka tu daaah wanawake wanafundishanaga ujinga sana hahahah
 
Ni hatari sana ukioa mwanamke msaka fursa mjini, Tuombe sana Mungu wake zetu wawe kweli na si wasaka fursa mjini maana Dar es salaam na Tanzania kwa sasa kuna wanawake wasaka fursa, mkeo ataitwa au kujiita malkia wa nguvu, mara Wanawake tunaweza nk nk ilimrad kupoteza watu maboya... Hatari sana..

Wengine kwenye vibegi na vipochi vyao hukosi KY kama watu vile ukiwaona barabarani wanakula kiyoyozi...

Dada zetu, Mama zetu, Shangazi zetu wakitanzania hebu badirikeni kidogo mpambane kiuhalisia na mlioko mashuleni mkuze IQ zenu na si kuishi kwa nguvu ya papuchi..Papuchi imeumbwa kutoa burudani kwa mwenzio na kwako na si mtaji au kitega uchumi..
Ni kweli mkuu. Lakini mimi naona kadiri siku zinavyoenda kina dada wanazidi kupoteza aibu. Zamani mtu akiitwa malaya au ikijulikana anatembea na wanaume bila mpangilio ilikuwa ni aibu sana. Siku hizi imekuwa kama ndiyo sifa na wadangaji wanajitangaza waziwazi tena wana followers wengi sana kwenye social media.
 
Katika watu ambao sipotezi mda kuwasikiliza ni hao wanaoitwa motivation speakers, ni waongowaongo sana.
Ni kweli. Na kwenye maisha yetu ya kiafrika kuna kanuni moja. Mtu akipata chimbo hatoi siri! Ukiona unaambiwa njoo uonyeshwe njia ya kupata utajiri ujue wewe ndiye unakwenda ''kumwonyesha'' yule aliyekuita.
 
Hela ya halali haijai haraka, too bad itakuwa kuna mtu kawachomea utambi tu. Haiwezekani saa 8 usiku maaskari watimbe home kwako na kuanza kupiga search!
Mkuu mbona wanajulikana muda mrefu! Walikuwa wanawalia timing tu. Halafu katika idara zinazofanya kazi kwa umakini na usiri bila kelele kelele kama wengine ni hiki kitengo cha kupambambana na madawa ya kulevya cha sasa!
 
Tukiwaambia mridhike na hali zetu hamtaki kuelewa ndio kwanza mnakimbilia page ya Zari the boss lady kwenda kujiumiza roho na kuchochea tamaa. Let things flow automatically. Kama ulipangiwa kuwa tajiri utakuwa tu hata ukiwa unafanya vitu vidogo vidogo tu vya halali. Mungu akitaka kukupa hamna wa kupinga acheni tamaa na kupenda makuu warembo wetu.

It seems huyo shamimu alidai talaka baada ya kuona jamaa yake wa mwanzo hakuwa na uwezo sana wa kumpa maisha makubwa ya kuonekana kwenye jamii kama icon.
Ni kweli. Kutembelea na ku-follow watu kama wale hufanya watu kujiona wanyonge na wamechelewa. Maskini wasijue yale yote ni maigizo.
 
Na hizi ndio chuki kubwa walizonazo wasiofanikiwa dhidi ya waliofanikiwa na ndio sababu ya wao kutofanikiwa zaidi.kumchukia na kumuombea mabaya mtu aliefanikiwa hakukupunguzii umaskini wako...vice versa is true...
Mkuu nchgi yenye watu wanaofanikiwa kijanja janja kama nchi yetu chguki kama hizo hazitaisha kamwe! Unajua hakuna kitu kinauma kama mtu kusota kwa kazi za halali halafu unaona mwenzako anakuwa kama amebonyeza vitufe hivi mara paap ni tajiri. Tena utajiri wa kudhuru wengine
 
Bangi ni majani tuu kama majani ya mpapai yaliyokaushwa kisha yakasagwa.

Cocaine ni nyeupe pee kama glucose ya kulamba kuongeza nguvu. Asili yake ni majani ya Coca ambayo yanastawi katika milima na baridi. Source yake sana Bolivia, peru, chile, Mexico, Colombia. Cocaine inamfanya mtumiaji awe active muda wote, asipate usingizi, inaongeza flow ya damu mwilini.

Behind the curtain inasemekana ni biashara ya CIA kama wao ndo engineers wa hizo vitu. Kwani ilikuwa inarise pesa kwa ajili ya kufund vikundi wa msituni ili kutokomeza siasa za ujamaa za mrusi enzi hizo.

Heroine ipo na rangi ya brown kama unga wa muhogo. Asili yake ni mimea ya popy ambayo inastawi sana pakistan, afghanstan na maeneo ya jirani. Heroin ni seizing agent, inamfanya mtumiaji anasinzia, anakuwa doro na kurelax.

Behind the curtain heroine, inasemekana ni biashara ya KGB waliianzisha kucounter effect cocaine katika kipindi kile cha vita baridi maana walikuwa wanazidiwa ujanja na mahasimu wao wa CIA.

Kati ya vyote hivyo Cocaine ndo ina bei kubwa kuzidi hao wote.
Kumbe..... Ndo maana hayaishagi
 
Mkuu yaani hapa mjini ukifuatilia maisha ya watu utajiuliza hivi nakwama wapi? Kiukweli Maisha mjini yako faster kuliko dunia yenyewe. Shortcut za mafanikio zinatutesa vijana wengi.

Hao akina SHAMIM na wenzake, it was just a matter of when NOT if. hakuna marefu yasiyo na mwisho. unajiuliza dada/kaka mshahara ni million moja (kabla ya makato), unataka weekend uwe Ramada na usukume Range au discovery. Utaweza wapi?

Mimi naamini hata JPM aondoke madarakani leo, Tanzania ya JK haitarudi tena. Vijana tupambane turidhike na kidogo tunachokipata huku tukipambana kuboresha Maisha yetu.

Maisha ya mkato ndo hayo ya akina Kitilya na mzee wa IPTL Rugemarila. Pesa ameiba za kutosha leo anaozea jela wakati pesa zinatafunwa na wengine. Dunia ina mengi jamani..khaa!
Umeongea kichama zaidi
 
Kwa haya ya ngada inatisha na inaogopesha, unaweza kujikuta upo sehemu hufahamu ina madili au hata umebebeshwa kivyovyote. Hawa wadada wakikuona upo na biashara zako unajitahidi kujisukuma, wanakuwa wanapenda kukujua kiundani.
You are very clever! Kama hailekei kuwa ni mtu mwenye moyo wa kukusadia kweli inabidi uwe makini. Vinginevyo uwe unamuamini kabisa lakini huu ushoga wa njiani mh.. Dunia ina kila ujanja wa aina.
 
Mkuu bei za viwanja Dar es salaam bado kizungumkuti, hata gharama za kununua nyumba maeneo hayo bado hakuna unafuu..
Viwanja vya bei chee utapata Chamazi, Mbagala mpaka Chanika ila Bunju, Ununio, Mbweni, Goba baadhi maeneo ya tegeta na boko mkuu bado bei pasua kichwa..
Bei ya viwanja Dar bado haina uhalisia.
Ni kweli ziko juu! Ila ukilinganisha na wakati wa Kikwete ni kuwa zimeshuka chini. Nina jamaa nawaowafahamu wanne. Mooja ana nyumba na wengine ni viwanja, Bunju, Kijitonyama na Tegeta. Wakati wa Kikwete walikataa bei za mil 200+ lakini sasa hivi hata mil 160 hawapati mtu.
 
Back
Top Bottom