Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Sijui wakoje...
kwa utawala huu wangesilimu ...wakazika dhambi za ngada zote ...
Halafu wakaenda zao..nje mpaka " kiumbe" atoke kitini!
 
Ni kweli ziko juu! Ila ukilinganisha na wakati wa Kikwete ni kuwa zimeshuka chini. Nina jamaa nawaowafahamu wanne. Mooja ana nyumba na wengine ni viwanja, Bunju, Kijitonyama na Tegeta. Wakati wa Kikwete walikataa bei za mil 200+ lakini sasa hivi hata mil 160 hawapati mtu.

Unapoongelea 200+ enzi zile walikataa na sasa 160mil hakuna wateja jibu ni rahisi wanunuzi hamna.. Unafikiri kipi kinapelekea hali hii??
 
Kuna kabinti kamoja kakiunga bundle kanaenda kwenye page ya resty_fish_bbq ama salometsyi ama askvin farms mara zanana. Yani ana admire watu wa design hio sana na anawish siku afanye awe kama hao.

Namwambia it took a lot of hard work and committment! Na pia mtaji...usidhani ukiwa na kamilion ka 1 unaweza yafanya yale kisa uliskia alianza na mtaji wa elfu 7,10,20 hahahah! Tulia mafanikio ya mtu yana siri kubwa sana. Dont take it lightly!
mkuu unataka kusema hao ulowataja hapo kina salome nao ndo walewale wenzie na shamim?
 
Umenifurahisha, alianza pia kutafutia wafuasi madanga ya kizungu, unatuma unamtumia US $ anakufungulia account match.com

Kwakweli marehemu Jumanne Kimambi utakumbukwa daima kwa kumleta duniani Mange.
😂😂😂😂😂kwakweli huyo jumanne tutazidi kumkumbuka sio kwa kutuletea mange a.k.a dada wa taifa
 
Tatizo hela yake tamu sana. Imagine unaingiza zaidi ya million 100 kila mwaka, unadhani utawaza tena kuwa na biashara ya kuchonga miwa ama kuuza juice? Mwenzio kilaini tu hakosi laki 3 ya kuchezea kila siku!
na hapo ndo kwenye shida....hela nyepesi tamu aisee & huna uchungu nayo ndio maana wanakuwa & matumizi mabaya sana!
wengi hujidanganya kuwa watafanya kidogo tu wapate mtaji...mfuate baada ya mwaka umuulize usikie hilo jibu utalopewa
 
Hatuwa muhimu kuliko zote ni mfungaji wa hizo pipi, punda wote wanawaheshimu sana watu hawa kwa sababu pipi zikifungwa vibaya tumboni zinapasuka.

Hatua ya pili punda anakula ugali wa kushiba wakati vipipi vipo kwenye beseni la maji, baada ya kula na kushiba na kupumzika kidogo ndio wanaanza kumeza hizo pipi kila punda kwa uwezo wake wa gram, wako punda wanaondoka na kilo nzima wanajilodi na kwenye tigo.

Wakifika salama mzigo hupakuliwa kwa njia ya haja kubwa mpaka pipi zote zinaisha, punda anachukuwa dola zake anafanya shopping anarudi huko mtaani mtamtambuwa, hawana akili kwamba hapa nimepata mtaji niachane na upunda nifanye biashara yeye anawaza next trip wapi.

Punda wakiwa kwenye ndege ni dry food na juice tu.
Hivi mkuu hiyo kete moja inasagwa na huo unga ndo mateja wanavuta au unaongezwa vitu vingine ili iwe tayari kwa kuvutwa?
 
Asante Mkuu ...tuko pamoja ... mfano mdogo ni daudi kanyau ... anafahamika wazi kuwa ni drugs dealer guru ..lakini yupo salama mpaka hii leo "

Ni kwa sababu hajawauzi vya kutosha wa kuu waliopo kwenye system
Huyu alishatimkia South siku nyingi, alivyoona mambo hayaendi Bongo akaishia zake
 
na hapo ndo kwenye shida....hela nyepesi tamu aisee & huna uchungu nayo ndio maana wanakuwa & matumizi mabaya sana!
wengi hujidanganya kuwa watafanya kidogo tu wapate mtaji...mfuate baada ya mwaka umuulize usikie hilo jibu utalopewa
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom