mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ila chonji bado yuko ndanisijaelewa kidogo.
Nakumbuka hata awamu ya nne ya JK wa Msoga iliwakamata matycoon kama Shibuka na Abdallah Chonji wa pale Migomigo.
Kwenye tasnia ya madawa TZ Shikuba na Chonji unaongelea watu hatari kabisa kwenye network pana kabisa.
Nakumbuka kipindi hicho wauza unga walimuogopa sana mtu aliteitwa Kamanda Nzowa na aliwatight sana akiwemo Mama Reila Mkenya na washirika wa Tanzania.
Hiko hiko kipindi cha Magu wapo watu walikuwa bado wanatamba uraiani na hawakugushwa na bado waliendelea kushusha maboom in connect na Bosi wa Dar es salaam.
Ova