Ila chonji bado yuko ndanisijaelewa kidogo.
Nakumbuka hata awamu ya nne ya JK wa Msoga iliwakamata matycoon kama Shibuka na Abdallah Chonji wa pale Migomigo.
Kwenye tasnia ya madawa TZ Shikuba na Chonji unaongelea watu hatari kabisa kwenye network pana kabisa.
Nakumbuka kipindi hicho wauza unga walimuogopa sana mtu aliteitwa Kamanda Nzowa na aliwatight sana akiwemo Mama Reila Mkenya na washirika wa Tanzania.
Hiko hiko kipindi cha Magu wapo watu walikuwa bado wanatamba uraiani na hawakugushwa na bado waliendelea kushusha maboom in connect na Bosi wa Dar es salaam.
Tena sahv ndiyo mbaya zaidiHata kama lazima kuwe na ushahidi na sheria zifuatwe ,mbona wengi tu wanafanya uhalifu sema tu wanajificha bila kuwajua hivyo wanapeta tu ,Kufungwa kwa hao watu kuna pia beef kati yao na wakuu(wa enzi hizo)!
Rufaa ipi tena? Si walikata rufaa the appex court ikakazia hukumu? Ndio hivyo tena watazikwa na Serikali.Duuhh mdogo mdogo shamim anasaulika ujue, labda km kuna rufaa huko.
Ila bado bwana wake othman yuko ndani
Mtoto wa lyumba ile kesi ilikuwa lazima achomoke,maana hakuhusika moja kwa moja
Ova
Tena sahv ndiyo mbaya zaidi
Ukikamatwa na kidhibiti huchomoki
Kesi nyingi za nyuma watuhumiwa
Walikuwa na masinemasinema
Si uliona kila mtu akikamatwa anaanbiwa amekutwa na grm 210
Ova
Hawa ni wale walikamatwa lindi ?Ila bado bwana wake othman yuko ndani
Mtoto wa lyumba ile kesi ilikuwa lazima achomoke,maana hakuhusika moja kwa moja
Ova
Shkuba ameshatoka jela mwaka sasa yupo uraiani.Shikuba yuko jela USA, alikuwa na kimeo kingine huko sina uhakika kama katoka au la, ila kijana wake Tikotiko alitumikia akatoka.
Issue ya Abdul na huyu dada ni tofauti kidogo na Shikuba, Abdul aliingia kwenye mikono ya serikali wakati ambao serikali iliamua kudeal na wauza unga ili kuitokomeza biashara, lengo ilikuwa kumtarget na kumtia nyavuni haijalishi ana mzigo au hana maana habari zake tayari Serikali ilikuwa nazo kama ilivyokuwa kwa Chonji wa Magomeni naye, alitaitiwa baada ya awamu ya nne kumchoka na matukio yake, mamlaka ziamua kumlalia kinomanoma haijalishi ana mzigo au hana ni order ilitoka na ndio mpaka leo Chonji yuko mahabusu hajahukumiwa bado nafikiri.
Kitu kingine tanzania watuhumiwa wanakaa sana jelaShkuba ameshatoka jela mwaka sasa yupo uraiani.
Ni Bora kufungwa miaka 20 ulaya kuliko miaka 10 africa.
Miaka 7 marekani unakaa 3 tu upo nje.
Jamaa kakaa miaka 3 tu yupo mjini humu ila kaamua kukausha ,,
mamalaka zinajuwa kwamba yupo humu humu ..
Yeye Ana nafasi kubwa ya kutoka lakini,si ame appealShamimu ananiuma sana ..wale watoto jamani...wanakua bila mama🥱[emoji24]
Si waliappeal wakakosa?? Au nimesahau..Yeye Ana nafasi kubwa ya kutoka lakini,si ame appeal
Ova
Kidhibiti Ni Mali ya store keeper [emoji23][emoji23]Kitu kingine tanzania watuhumiwa wanakaa sana jela
Utakuta mtu kakamatwa alafu kile kidhibiti alichokutwa nacho(kama wanavyosema)mbeleni huko hakionekani [emoji1]
Ova
Shkuba ameshatoka jela mwaka sasa yupo uraiani.
Ni Bora kufungwa miaka 20 ulaya kuliko miaka 10 africa.
Miaka 7 marekani unakaa 3 tu upo nje.
Jamaa kakaa miaka 3 tu yupo mjini humu ila kaamua kukausha ,,
mamlaka zinajuwa kwamba yupo uraiani humu humu ..
Ila zipo kimya
Biashara waliyokuwa wanajihusisha nayo imeharibu pia mamia ya watoto wa watuShamimu ananiuma sana ..wale watoto jamani...wanakua bila mama🥱😭
Na yeye kawaharibu familia kibao kwa kuwauzia bwimbwi wazazi waoShamimu ananiuma sana ..wale watoto jamani...wanakua bila mama🥱😭
mnashindwa kuelewa wakati wanakamatwa sheria za madawa zilikua bado simple tu chid alikamatwa na bank uwanaja wa airport akaachiwa kamatwa sasa ivi hata na bangi moja uone mnvua utakazo kula sheria zilibadilishwa na jiwe zikawa ngumu sanaSasa mbona skuba mwenyewe alifungwa miaka 7 tu? Unajua aliyekamatwa na ngozi ndiye aliyeiba ng'ombe? Mtoto wa Liyumba na Skuba washatoka jela inagwa walikamata na mizigo ya hatari 209Kg,why mwenye 0.5Kg afungwe maisha?
Ajabu kabisa,,Kitu kingine tanzania watuhumiwa wanakaa sana jela
Utakuta mtu kakamatwa alafu kile kidhibiti alichokutwa nacho(kama wanavyosema)mbeleni huko hakionekani [emoji1]
Ova