Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Shkuba hakupambana akafungwe marekani Bali alikuwa most wanted by FBI marekani,

Jamaa alitajwa mara nyingi Sana kwenye kesi za watu waliokamatwa na madawa MAREKANI.

FBI walimfata sababu jamaa alikuwa na kesi kule..

alipomaliza kifungo marekani ilibidi arudishwe tena tanzania aje akutane na kesi yake ya LINDI..

Nadhani analindwa na kiongozi mmoja mkubwa visiwani..
Yupo huru kwa sasa,,Kuna sehem kajichimbia Ila hayupo jela.
 
Yupo huru anajiachia juzi nimemuona kwenye mishikaki kwa rajabu magomeni na gari moja matata sana
 
Saf sana haya Mambo ndio napenda kuyasikia...chadema watapinga watasema anaonewa au serikali inataka kick
Hivi umeamua kukubali kabisa kuwa bila kuitaja Chadema basi unakuwa huna hoja yoyote yenye mashiko?
Saf sana haya Mambo ndio napenda kuyasikia...chadema watapinga watasema anaonewa au serikali inataka kick

Saf sana haya Mambo ndio napenda kuyasikia...chadema watapinga watasema anaonewa au serikali inataka kick
Hivi umeamua kukubali kabisa kuwa bila kuitaja Chadema basi unakuwa huna hoja yoyote yenye mashiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…