Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

DAAH hii familia ndo walifungwaa maishaa...aiseee

Hivi kesi ya madawa kifungo ni maisha mbona kuna wanaofungwa miaka kadhaa.. au inakuaje hawa walipigwa maisha utadhani ni Murder kesi.

By the way hao walighafifilika issue hatar kama hizo kama Mnajitoa ufahamu anatakiwa ahusike mmoja. Ili likitokea la kutokea familia inabaki na mhimili mmoja.. sasa wote ndan maisha watoto ni kama Yatima
 
Hapo ni roho mbaya tu za waafrika huyo mwanamke anapaswa aachiwe huru. Sheria za hovyo sana hizi kumfunga mwanamke kisa kosa la mume.
 
Watu kama hawa wangetakiwa kunyongwa kabisa....na sio kuwafunga maisha.....hawa ni zaidi ya mashetani.....tamaa zao za hela wamezielekeza kwenye kutuharibia vijana wetu....

Kila nikiwaona vijana walioathirika na dawa za kulevya ndio nazidi kupata uchungu na hawa mashetani........
 
Hapo ni roho mbaya tu za waafrika huyo mwanamke anapaswa aachiwe huru. Sheria za hovyo sana hizi kumfunga mwanamke kisa kosa la mume.
Hapana kwa ushahidi uliyotolewa mahakamani mzigo ni wa kwao wote siyo wa mume peke yake kama unavyosema, kasome kesi ipo mtandaoni acheni story za vijiweni
 
Hawafai kabisa huo ndio ukweli
 
Oya jamani tuleane connection ya kupiga hela hizo....na sie tuget rich au die trying
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…